Couples Za Kibongo!

Couples Za Kibongo!

hivi hakuna wanaume waswahili tunaobeba watoto wa kitasha maana naona dada zetu tu ndo wanapenda interracial

Labda tuone hii kwa kuanzia...
 

Attachments

  • Young man & Old woman.jpg
    Young man & Old woman.jpg
    14.7 KB · Views: 77
Man,
You must be living on another planet (Tanzania planet)

Hili ndilo tatizo kwa wanaojiita wana habari Tanzania. Yaani unakuta jamaa ana copy & paste picha au story za watu hata kama wako uchi.

Wenzetu huku Magharibi hii kitu wanakuwa nayo so careful na wakitaka kufanya hivyo lazima wamfahamisha muhusika kwanza kabla ya ku-publish

Mkuu,,nadhani publishing industry Tanzania iko Governed na laws of Tanzania,,,unless kuna international laws ambazo ni mandatory kuzifuata ambazo sisi wote hatuzijui isipokuwa wewe....hatuwezi kuwa bound na sheria iliyoko Uingerezani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom