Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Sijui maana ya neno "couples"...! Msaada tafadhali...!
.......yaani wame 'kurupuka' ! .....kuupulu !.. maonae ...kama ivyo ...yaani !
Sijui maana ya neno "couples"...! Msaada tafadhali...!
hahahhaah couples za kibongo wakiwa nje ya house wanaitana darling ndani ya nyumba mahasimu wakubwaaaaaaaaaaaaaaaa hahahaha mweeee!
Mkuu we are well informed. You should know that we don't have any existing Cyber Law in Tanzania. Furthermore I don't think if JF is hosted in TZ. Further most fotos are unlicensed available on net.
Mkuu Nimekusikia.
Mimi nilikuwa tu ninachombeza kwa sababu kuna kesi nyingi watu wamedondoa mambo yaliyoko nchi nyingine (host) na wao wako nchi nyingine lakini wakajikuta pia wameingia kwenye mkono wa sheria ya hiyo nchi.
Mkuu,
Kuna sheria na taratibu zinazowalinda watu katika kuwaanika kwenye mitandao na mabarazani bila ruhusa yao.
Be careful usije ukajikuta matatani na mkono wa sheria katika hii kitu inayoitwa THE RIGHT TO BE FORGOTTEN (Privacy right)
Hivi baada ya mkulu kumuwezesha huyo rehema bado anaendelea na huyu mupenzi wake!??
Sijui maana ya neno "couples"...! Msaada tafadhali...!
acha mbwembwe