Couples Za Kibongo!

Couples Za Kibongo!

kilicouples4.jpg
 
doooh kweli hii n kibongo bongo!! hao masebility wenyewe mbona siwajui,! hapo nimemtambua mkuluu, lady jay d na ray c!! waliobaki bilabila.
weka na majina tafadhali
 
Mkuu,

Kuna sheria na taratibu zinazowalinda watu katika kuwaanika kwenye mitandao na mabarazani bila ruhusa yao.

Be careful usije ukajikuta matatani na mkono wa sheria katika hii kitu inayoitwa THE RIGHT TO BE FORGOTTEN (Privacy right)
 
i never knew this..
 
i never knew this..

Man,
You must be living on another planet (Tanzania planet)

Hili ndilo tatizo kwa wanaojiita wana habari Tanzania. Yaani unakuta jamaa ana copy & paste picha au story za watu hata kama wako uchi.

Wenzetu huku Magharibi hii kitu wanakuwa nayo so careful na wakitaka kufanya hivyo lazima wamfahamisha muhusika kwanza kabla ya ku-publish
 
mama yetu wanvyomuwekea maua ua kichwani lol
Sijui nani designer wake?
 
Man,
You must be living on another planet (Tanzania planet)

Hili ndilo tatizo kwa wanaojiita wana habari Tanzania. Yaani unakuta jamaa ana copy & paste picha au story za watu hata kama wako uchi.

Wenzetu huku Magharibi hii kitu wanakuwa nayo so careful na wakitaka kufanya hivyo lazima wamfahamisha muhusika kwanza kabla ya ku-publish

Mkuu we are well informed. You should know that we don't have any existing Cyber Law in Tanzania. Furthermore I don't think if JF is hosted in TZ. Further most fotos are unlicensed available on net.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom