Couples za JF ni hizi...!

kaba hujafanya matumiizi ya bidhaa hizi......tafadhali onana na MziziMkavu kwanza....

hahahahahah
Hapana bana madoctor wanaweza wa
kwambia hivi vitu vibaya kwa afya yako..
aahhhhh staki ku nyong'onyea bure.....
 
Preta.... Asante Kwa hii Thread kuipandisha... I will get a lot humu I know......lol

karibu sana....ikitoka hii wewe ulikuwa hujaja eeh.....duh...its almost a year now....wa mwisho alikuwa Annina 16th Nov 2010....hapa najua kuna mengi yalitokea......hadi kufika leo......yu no wora ai mini....

Dear i have a feeling kama wasema i may not like what i see in this thread.....lol.... Is it?? Should i tread carefully??

BTW napenda the fact kua ni ya mda mrefu, itanisaidia kuwaelewa fellow members more... Hasa wa kale na hasa wale namendea....( I kid)
 
NO...nina maana kuwa by the time thread inarushwa....ulikuwa bado hujajiunga JF....la sivyo usingekosa wa kwako...( ha ha ha)....ila hujachelewa.....
 
NO...nina maana kuwa by the time thread inarushwa....ulikuwa bado hujajiunga JF....la sivyo usingekosa wa kwako...( ha ha ha)....ila hujachelewa.....

hahahaha...... Preta mbona tayari ninae (sababu ya historia yake ya kukosa kua na utulivu katika hio sector) inanipa wasi labda nimekwaza wengine...lol (you know what i mean)
 
hahahaha...... Preta mbona tayari ninae (sababu ya historia yake ya kukosa kua na utulivu katika hio sector) inanipa wasi labda nimekwaza wengine...lol (you know what i mean)

orait orait.......will be back soon......

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…