Yaani hapa mnataka kuvunja ndoa za watu (existing couples) au mnataka wale ambao bado ni singles wa-form couples. Too imaginary!!!
Mimi na kaizer (asiyependa akameze wembe)
x-pin hapa ATAJITUNDIKAππ
Jamani huyu Kaizer si ni B wako? na nyamayao ni wifu yako?
Inakuwaje unaleta mambo ya akina Adamu na eva
ulipewa mchumba na Masaki, ngoja niperuzi nione ni nani....
Kaizer aliwahiwa na Cheusimangala......hahaaaaa!!!
UNAULIZA MIDEVU KWA osama?ππ
dahπmakubwa! Ndio unaamka b wangu?
Aaaah Kijukuu bana. Wanamwonea wivu babu na kijukuu chake au?Mimi na Chrispin (asiyependa akameze wembe)
Rudi nyuma shetani!x-pin hapa ATAJITUNDIKAππ
Hapana kwa kweli. Mimi si mvunjaji wa mila. Lengo letu kuu ni KUDUMISHA MILA!Mpwa lakini unasahau kama Hommie ni BABU yake na MJ1? au wataka kuvunja mila hapa? LOL
dahπ
Mi napenda rangi nyekundu!
tuonane ukweni ''ROMBO'' kwa mazungumzo zaidiAaaah Kijukuu bana. Wanamwonea wivu babu na kijukuu chake au?
Rudi nyuma shetani!
Hapana kwa kweli. Mimi si mvunjaji wa mila. Lengo letu kuu ni KUDUMISHA MILA!
Naam mtumishi! Mshiki kaamkaje? Hivi leo siku gani vile.hehehe!mpendwa x-pin.....
Eti mama aibue? Ilikuwaje hukuniamsha? Hivi hapa leo mnaongelea nini yailahi?Makubwa! ndio unaamka sahizi lijendi wangu?
Kwa niaba yake samahani kama amewakwaza!hommi mbona hujasema kama ni offtopic?
eeh mwenzangu tena uje na mahindi maana kuku hawajala since jana
unauliza MAKOFI POLISI?ππhahaa Goeff huyo ndo Balantanda wa Charity???
umeharibu miundo mbinu tayari hapo, I can sense umefanza maufundi kwenye hiyo post
hommi mbona hujasema kama ni offtopic?
JUMATATU YA BLUE!kwa wakwe saa 12 jioni tafadhaliNaam mtumishi! Mshiki kaamkaje? Hivi leo siku gani vile.
Eti mama aibue? Ilikuwaje hukuniamsha? Hivi hapa leo mnaongelea nini yailahi?
Dah! Kwakweli valuu ilido ze niidful nikajikuta nachanganya mambo. Sore ntaiombea hapa alipokomenti bwashee tukutane.hommi mbona hujasema kama ni offtopic?
tuonane ukweni ''ROMBO'' kwa OFUTOPIKI zaidi
Thats my girl! Vipi Matesha aliwahi shule?Kwa niaba yake samahani kama amewakwaza!
Mamushka I will need some written explanations here.............before I change my mind!anapenda nyekundu na yeye ni YEBOYEBO??? hahaaa soere ofu topiki na samahani kama ntawakwaza
jamani hii sredi mbona inaenda kama Roketi nashindwa kukimbizana nayo
anapenda nyekundu na yeye ni YEBOYEBO??? hahaaa soere ofu topiki na samahani kama ntawakwaza
Thats my girl! Vipi Matesha aliwahi shule?
Mamushka I will need some written explanations here.............before I change my mind!
Hehehe! Mi na hommie tunacheza kwotekwote!JUMATATU YA BLUE!kwa wakwe saa 12 jioni tafadhali