Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
RayB unaona hii imekaa sawa kweli??Senksi Pretta lol nshapewa ntu humu lakini mi naona hapo kwa Maria Roza labda Pape ndo watawezana-si unajua mambo yao watu wa motion pictures zaidi!!? teh teh
Senksi Pretta lol nshapewa ntu humu lakini mi naona hapo kwa Maria Roza labda Pape ndo watawezana-si unajua mambo yao watu wa motion pictures zaidi!!? teh teh
RayB unaona hii imekaa sawa kweli??
mi nilifikiri kuwa couple ya Maria Roza na Kibunango ingehit mno...ila nikaja kugundua hao wawili wamedondokeana zaidi
KIbunango yuko bize sana na kampeni angemuacha mtoto wa watu na upweke siku zote asingemfaa kabisa. Sasa Preta Fidel mwenyew kachenguka na back door ya cheusimangala yaani hoi akiona post yake yoyote ile ye anagonga senksi tu hata bila ya kusoma!!
Msisahau kuwa wengine humu ndani ni waseja msije mkatutafutia patners!
Kimsingi ndo manake hasa kama patnership ni kwa kufanya mabo yetu yaleeeee.........!waseja hawatakiwi kuwa na partners?
Zipi?acheni hizo
mzee kwa falsafa kama ulikuwepo ndo nimetoka kumaliza haka kaproblem mda si mrefu,kama ulikuwepo vileIkawa hivi....
"Huyo First Lady1 ni nani kwani".. mtu kaulizwa
"Ah.. ni mwanachama mmoja wa huko JF".. akajibiwa
"Mbona watu wanawachombeza sana na kuwafanya couple" mtu anandelea kudadisi
"Ah wanatania tu si unajua tena mambo ya mtandao". Anajibiwa kama kwa kupuuzia
"Umewahi kuwasiliana naye" mtu haachii anaendelea. Hapa inabidi utafute jibu zuri.
"Hapana.." kama kwa kigugumizi.
"Unamtaka eh.. kama unamtaka si useme tu" kwa sauti ya juu mtu wa watu anaanza kupandisha.
"Jamani hunny! mbona una wivu hata kwa avatar" anaambiwa kama kwa kukofokewa.
"Yaani, unanifanya miye sijui.. naona jinsi watu wanavyokuchombezea.. na wengine sijui kina Pearl, Queenkami, na nani wote ungekuwa na uwezo ungewabeba wewe.. mwanaharamu mkubwa. Kama hunitaki nipe talaka yangu nirudi kwetu. Huwezi kuninyanyasa mimi na sijui kina nani hao"..
Mara jambo likazua jambo ngumi teke. Kaanza kulia.. kakimbia chumbani anaanza kufungasha.. nasimama mbali naangalia monitor kurasa zinavyozidi kujaa...
Ikawa hivi....
"Huyo First Lady1 ni nani kwani".. mtu kaulizwa
"Ah.. ni mwanachama mmoja wa huko JF".. akajibiwa
"Mbona watu wanawachombeza sana na kuwafanya couple" mtu anandelea kudadisi
"Ah wanatania tu si unajua tena mambo ya mtandao". Anajibiwa kama kwa kupuuzia
"Umewahi kuwasiliana naye" mtu haachii anaendelea. Hapa inabidi utafute jibu zuri.
"Hapana.." kama kwa kigugumizi.
"Unamtaka eh.. kama unamtaka si useme tu" kwa sauti ya juu mtu wa watu anaanza kupandisha.
"Jamani hunny! mbona una wivu hata kwa avatar" anaambiwa kama kwa kukofokewa.
"Yaani, unanifanya miye sijui.. naona jinsi watu wanavyokuchombezea.. na wengine sijui kina Pearl, Queenkami, na nani wote ungekuwa na uwezo ungewabeba wewe.. mwanaharamu mkubwa. Kama hunitaki nipe talaka yangu nirudi kwetu. Huwezi kuninyanyasa mimi na sijui kina nani hao"..
Mara jambo likazua jambo. Kaanza kulia.. kakimbia chumbani anaanza kufungasha.. nasimama mbali naangalia monitor kurasa zinavyozidi kujaa...
mzee kwa falsafa kama ulikuwepo ndo nimetoka kumaliza haka kaproblem mda si mrefu,kama ulikuwepo vile
nyie wawili mnanitatiza.....yupi ndo yupi anaondoka na kitu?
..MODs nashauri hii thread ihamishiwe kwenye jukwaa la utani!
My apologies..........
Ikawa hivi....
"Huyo First Lady1 ni nani kwani".. mtu kaulizwa
"Ah.. ni mwanachama mmoja wa huko JF".. akajibiwa
"Mbona watu wanawachombeza sana na kuwafanya couple" mtu anandelea kudadisi
"Ah wanatania tu si unajua tena mambo ya mtandao". Anajibiwa kama kwa kupuuzia
"Umewahi kuwasiliana naye" mtu haachii anaendelea. Hapa inabidi utafute jibu zuri.
"Hapana.." kama kwa kigugumizi.
"Unamtaka eh.. kama unamtaka si useme tu" kwa sauti ya juu mtu wa watu anaanza kupandisha.
"Jamani hunny! mbona una wivu hata kwa avatar" anaambiwa kama kwa kukofokewa.
"Yaani, unanifanya miye sijui.. naona jinsi watu wanavyokuchombezea.. na wengine sijui kina Pearl, Queenkami, na nani wote ungekuwa na uwezo ungewabeba wewe.. mwanaharamu mkubwa. Kama hunitaki nipe talaka yangu nirudi kwetu. Huwezi kuninyanyasa mimi na sijui kina nani hao"..
Mara jambo likazua jambo. Kaanza kulia.. kakimbia chumbani anaanza kufungasha.. nasimama mbali naangalia monitor kurasa zinavyozidi kujaa...
he he hee du na atakua katuchora sana mpaka mda huu,ngoja nikalale FL1 kesho atatujulisha kama siku iliisha salama.nasikia mwenye mali mwenyewe kakaa pembeni anatuchora tu.. mkisikia watu wamefikishana Kisutu huko kisa JF msianze kutafutana tu..