PJ, huyu Askofu wa JF ni kutoka lile dhehebu wanalooa, i think soLakini na ikumbukwe kwamba Askofu nae anaeza akaoa au asioe kufuatana na kwamba ni wa madhehebu gani...sasa tuambie weye ni askofu wa naniliu gani, ili kama vipi tukutafutie kapo...huh!😀