Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Koo linacheza cheza ukisema hivyo! Ila mbona leo mnatuwahisha baa? Hapa kuna ajenda ya siri nini?
icon10.gif

something won't happen unless u guys leave.......fact
 
?
haya sasa! tuone huo mchezo mliokuwa mnataka kuanza itakuwaje,
tunaufanya kwa PM sasa!..sijui labda umuombe INVIZIBLE aku4wadie hizo sms!...utasubiri weeee, Jua litaenda!
 
Bigrita yupo counter, bapa mezani, maji makuuubwaaa, na ndimu pembenim
Anangoja aone game la nanihii na nanihiii hapa hapa jf.
 
kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)

Bado nitaendelea.......

Nyie fanyeni utani utani na haya mambo, watatafutana watu humu! kwa wenye ndoa mi simo!
 
Khe khe khe bora mtujuze mtoto wa JF atakapozaliwa, kumbe mambo si mambo. Naona hii imekuwa thread inayokwenda kwa speed kali ambayo haijawahi kutokea. Sasa ni kina nani hao watashinda kuleta mtoto wa JF? Hala hala usione jamaa anatumia jina la she/he wakati yeye ni hermaphrodite.
 
Mkishakamilisha Ma-kapos naomba nijulishwe nifungishe ndoa za pamoja.... JF Kapos, pliz!!!
 
Mkishakamilisha Ma-kapos naomba nijulishwe nifungishe ndoa za pamoja.... JF Kapos, pliz!!!
hahahahahahahahahhhahahah umenikumbusha ndoa za pamoja ibadani mwetu ni nzuri sana lakini zina challenge yake kama mtaani ni mtanuaji maana perception yake ni kipato kidogo kitu ambacho sio kweli lakini
 
Mkishakamilisha Ma-kapos naomba nijulishwe nifungishe ndoa za pamoja.... JF Kapos, pliz!!!
Lakini na ikumbukwe kwamba Askofu nae anaeza akaoa au asioe kufuatana na kwamba ni wa madhehebu gani...sasa tuambie weye ni askofu wa naniliu gani, ili kama vipi tukutafutie kapo...huh!😀
 
rudi kwenye ukurasa wa kwanza utamkuta kwenye list
Asante mwana unajua thread jana ilikamata sana nilifuatilia mpaka nikalala kwenye keyboard.......ngoja nirudi 1st page
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom