Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Si unaona? Nilifikiri niko peke yangu.

Twende tuwahi kaunta mpiganaji. Huchelewi kusema leo ni Pasaka!
Hapa sasa ze alcohol will be not in ze brain, but in the blood.
Nimecheka sana.
 
Unaona alcohol sasa!!!

yaani wee bana nikajiuliz ambona nikaja kazini n i was not supposed to be here, kumbe mwenzangu una yako kwenye ubongo.......

Si unaona? Nilifikiri niko peke yangu.

Twende tuwahi kaunta mpiganaji. Huchelewi kusema leo ni Pasaka!

na kweli sasa hivi atasema jpili ijayo ni majilio
 
Azamu hebu fanya ze needful pale kwa yule binti!! na upeleke mwenyewe, usitume mtu
Peleka lory halafu leta ankara hapa.
Hehehe! Hiyo yote ni sawa na bei ya kakreti kamoja ka kanywaji ketu! Mamushka hana gharama kabisa!
 
unaniadhibu sasa au......??? ntaweka wapi??

bht wewe ni geneous!!
icon10.gif

Unanidai ice cream.........!!!

ndio!!!!
 
Hehehe! Hiyo yote ni sawa na bei ya kakreti kamoja ka kanywaji ketu! Mamushka hana gharama kabisa!

hahaaa gharama kwenye mvinyo sina......ila kwingineko papushka mmmh!!!
 
yaani wee bana nikajiuliz ambona nikaja kazini n i was not supposed to be here, kumbe mwenzangu una yako kwenye ubongo.......

na kweli sasa hivi atasema jpili ijayo ni majilio
hahahhaa! mi niliingia ofisini juzi kati, mara namuona mtu ana majivu usoni, ndo nikakumbuka Duh!
ikabidi nifanye ze needful siku hiyo jioni.
 
Ninyi mjitafute tu halafu mimi nitawala"chabo"tu. Mlachabo hufaidi kuliko walao...Lol!
 
Kongoro Rukhsa, ila mimi mwambie aniletee supu ya mkia......!!!
Dah! Kiongozi umenistua mstima!

Am out! Hey Elizaaaz! Ile glasi yangu iko wapi mbona unanipa hii? Afu mwambie wa jikoni aandae mkia nusu. Kijana mwenye kiu ya siku tatu anakuja. LOLZ!

Tufurahi jama tufurahi wikiendi eeeeh!
Tufurahi jama tufurahi wikiendi eeeeh!
 
Hehehe! Hiyo yote ni sawa na bei ya kakreti kamoja ka kanywaji ketu! Mamushka hana gharama kabisa!
Tatizo ni kwamba mambo ya warm chocolate hayapo Chawote Bar wala Migombani.
Inabidi uende kunywa bia za Southern sun na kwingineko, na isiwe Happy hour!
Huko hakuna supu ya Paya, Ngumi, Kongoro, Special, Ulimi wala Mkia. labda ule fish fingers na supu ya maboga.
 
Dah! Kiongozi umenistua mstima!

Am out! Hey Elizaaaz! Ile glasi yangu iko wapi mbona unanipa hii? Afu mwambie wa jikoni aandae mkia nusu. Kijana mwenye kiu ya siku tatu anakuja. LOLZ!

Tufurahie jama tufurahie mkia eeeeeeh!
Tufurahie jama tufurahe mkia eeeeh!

kaka huo mkia utakuwa wa aina gani?....lazima unanoga
 
shosti craving for makande hahaaaa!!! utayatoa wapi sasa??? hahaaaaa lol pole!!!

Leo uje kwetu basi, Bala alikuwa anaumwa hata hujaja kumwona, but he is much better now!!!

@Masaki the responce you have been longing for..........

shosti umesahau ile msemo unasema penye nia pana njia?..Lazima kieleweke aisee nina hamu na makande kama nina mimba changa vile hadi mate.....

hahaah shosti my boss made my day today he is a young millionare alafu kaingia kazini huku anaimba ule wimbo wa lady gaga..."pokwe face"....wierd"..he is a serious man leo anafuraha sana sijui kapewa mchezo asubuhi hii?????????
 
Tatizo ni kwamba mambo ya warm chocolate hayapo Chawote Bar wala Migombani.
Inabidi uende kunywa bia za Southern sun na kwingineko, na isiwe Happy hour!
Huko hakuna supu ya Paya, Ngumi, Kongoro, Special, Ulimi wala Mkia. labda ule fish fingers na supu ya maboga.

you are very smart, unaona u-expensive unapoingia sasa....
yaani mie niende chawaote niishie kunywa coke tuuuuuuu, akhaaaa!!!!

B kwenye blue umenigusa kwa kweli!!!
 
shosti umesahau ile msemo unasema penye nia pana njia?..Lazima kieleweke aisee nina hamu na makande kama nina mimba changa vile hadi mate.....

hahaah shosti my boss made my day today he is a young millionare alafu kaingia kazini huku anaimba ule wimbo wa lady gaga..."pokwe face"....wierd"..he is a serious man leo anafuraha sana sijui kapewa mchezo asubuhi hii?????????
una maanisha huwa apewagi asubuhi? unamfanhamu kiivo.....au mm tu nasoma sana katikati ya mistari
 
shosti umesahau ile msemo unasema penye nia pana njia?..Lazima kieleweke aisee nina hamu na makande kama nina mimba changa vile hadi mate.....

hahaah shosti my boss made my day today he is a young millionare alafu kaingia kazini huku anaimba ule wimbo wa lady gaga..."pokwe face"....wierd"..he is a serious man leo anafuraha sana sijui kapewa mchezo asubuhi hii?????????

hahaaaa wewe na hayo makande mi sijui hiyo njia ya kuyapata utaiona wapi

eeeeh shost a young millionare boss singing lady gaga'z song made ur day??

ngoja kwanza.......naenda kukuletea mahindi ya makande sasa hivi!!!!
 
you are very smart, unaona u-expensive unapoingia sasa....
yaani mie niende chawaote niishie kunywa coke tuuuuuuu, akhaaaa!!!!

B kwenye blue umenigusa kwa kweli!!!
Tutafanya utaratibu siku za usoni, si ndio mama ee!
Unaona ninavyojua kusoma alama za vidole vitumiwavyo ku-type na kupost?
 
Naomba nisiamini shetani anachonitafsiria! Shindwa Shetani!

papushka usivushe mawazo mbali bana aaah!!! soma post ya B on that responce

afu hebu ondokeni kwanza naona mna kiu nsije nikawanywesha siki bureeee!!!
 
hahaaaa wewe na hayo makande mi sijui hiyo njia ya kuyapata utaiona wapi

eeeeh shost a young millionare boss singing lady gaga'z song made ur day??

ngoja kwanza.......naenda kukuletea mahindi ya makande sasa hivi!!!!

mi naleta maharage....soya au yale yanayofanana na karanga?
 
papushka usivushe mawazo mbali bana aaah!!! soma post ya B on that responce

afu hebu ondokeni kwanza naona mna kiu nsije nikawanywesha siki bureeee!!!

Koo linacheza cheza ukisema hivyo! Ila mbona leo mnatuwahisha baa? Hapa kuna ajenda ya siri nini?
icon10.gif
 
Tutafanya utaratibu siku za usoni, si ndio mama ee!
Unaona ninavyojua kusoma alama za vidole vitumiwavyo ku-type na kupost?

eeeeh sio kaka Xpin anashoot juu ya goli........

mi naleta maharage....soya au yale yanayofanana na karanga?

Preta nenda pale kilombero uchague yanayoiva haraka maana huyu shosti wangu ataleta balaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom