Couples za JF ni hizi...!

we bht, mkimwita mtoto invisibo katakuwa kiwembe hako,
katakuwa kanapitia vibinti vya watu, before they know it, kanakuwa kameshapitia.
sawa tu ka invizibo jr. katatesa ile mbaya!!!
Mungu akasema, sio vizuri huyu mtu kuwa peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. ....tumefanana lakini ni msaidizi wangu mbishieni Mungu basi, kwa sababu nyie wabishi sana

dah mseminarist at work!!!
 
Hehehe! Ngoja na mimi ni do the needful.
Saizi ndio nimejua leo ni weekend.
Hivi kuna mtu kanionea Charity wangu leo? Najisikia kupumua kwa kasi leo.

Alikuwepo humu sasa kama humuoni inabidi leo uka block Gesti zote za Sinza, watu watakuwa washajibebea tayari LoL
 
Alikuwepo humu sasa kama humuoni inabidi leo uka block Gesti zote za Sinza, watu watakuwa washajibebea tayari LoL
Hahahaha! Dah! Fidel alikuwepo? Atakuwa yeye tu!
Haidhuru. Naona kuna Preta bado anazagaa humu.
Sorry nitakuwa bize kwa muda kwenye PM tafadhali. Doing logistics for the needful.
 
He! We tutukane tu, sisi tunakusamehe lakini.

We Mpakazie tu FL1 nasikia ana uhusiano wa Kiushemeji na Yule Mzee Maarufu mbeba Jembe Shingoni, siku hizi ana Mkwaju wa Kuwacharaza vijana Watukutu
 
JF siku hizi imebadilika sana....yaani kila kukicha kuna vijimambo vipya tu...
 
hadanganywi mtu leo hapa.....we edit too

We Mpakazie tu FL1 nasikia ana uhusiano wa Kiushemeji na Yule Mzee Maarufu mbeba Jembe Shingoni, siku hizi ana Mkwaju wa Kuwacharaza vijana Watukutu
Inaelekea jana sikujidunga na alkoholi ya kutosha!
Najaribu kuimagine:
Kama avatar zingekuwa ndiyo real picture za wahusika.
Ningemwonea wivu sana mwanakijiji wakati nikiwa namsikitikia FL1.
 
hehee gines??? mida inahusu hapo!!!
umenikumbusha watu wangu wa Mb..u huwa wanpenda sana hii kinywaji, utasikia, lete ginesi na koka! I miss Qwayu, Eri, Mari, Kameyu,
 
Inaelekea jana sikujidunga na alkoholi ya kutosha!
Najaribu kuimagine:
Kama avatar zingekuwa ndiyo real picture za wahusika.
Ningemwonea wivu sana mwanakijiji wakati nikiwa namsikitikia FL1.

ufafanuzi plz akili iko kwa slow motion saaaaaaaaaana mida hii!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…