Couple za shule ni shida


Hahaaa jamaa unifurahisha asee mm pia mahusiano yaliyodumu mda mrefu sidhani ata miezi saba inafika ,yatatokea yakutokea tu jini makata atayaingilia.

Itakua kua tatizo ni mm lakin shida hadi leo sijajua iko wap na wote tukiacha tunawasiliana na nikitaka mzigo napewa,nakosea wapi hapo ndo sijajua.

Mtu akiniona anaweza sema siwez kukosa mpenzi lakn sina,sema tu mademu ninao wakukizi aja.
 
Mtafute tu
dah hii inanihusu kabisa,nilikua na mahusiano na binti flan ivi alinisumbua sana dah,sasa hivi yupo chuo mkoani mimi nipo kwa makonda bint huwa ananitafuta kwenye simu ila sijali namuacha apambane na hali yake
mtafute tu umle hata mara moja ufurahishe nafsi yake
 
Naamini Necta ulitoboa fresh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…