Couple ya h.o.d na heaven on earth

Couple ya h.o.d na heaven on earth

Japo huwa hatupatani,lakini namwelewaga sana huyu Heaven on Earth
nahisi itakuwa poa sana tujenga mahusiano,na endapo anakubaliana nami yawe ya ki-jf tuu
labda kama tukinogewa,nahofia tu waandishi wa udaku wa jf kina warumi wataifatilia sanaa..
..nisiongee sana Heaven on Earth kuja tukubaliane hapa mbele za wadau,nakaribisha wenye mapingamizi
Umeanza kujipendekeza kwa kwake za watu..... angalia uhusianio usitoke nje ya JF, manundu hayako mbali humu
 
Ha ha haaa
Haaaa
Kumbe unachunguliaga humu,

Ni heri tu urudi.

Kumbe jina langu Mamndenyi bado unalikumbuka?
Btw leo nimemissplace way kukatiza pande hizi.
Awali nilidhani "dawa sahihi" ningeliipata hapa! Kumbe looh! Nilikua nachota maji kunako ndoo iliyotoboka!
.
 
Nawatakia mafanikio na maelwano na huyo pacha wako
 
What a good couple? Ha ha ha Heaven on Earth umekubali kumchukua heaven on desert awe mume wako wa ndoa kwenye shida na raha,on earth and desert hadi kifo kiwatenganishe??..............haya wapambe na mseme Aminaaaa na ndoa ishafungwaaa!!! Dada huyooo!!....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom