Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
kwani uyole hamkuenda????
Tulienda kwa helcopta lakini tulokosa mahali pa kutua tukageuza na tukatua pale igawa kupata chai mama
kwani uyole hamkuenda????
Tulienda kwa helcopta lakini tulokosa mahali pa kutua tukageuza na tukatua pale igawa kupata chai mama
Usihofu mkuu. Mimi namwamini sana mpenzi wangu Heaven on Earth aka H.O.E. Ana msimamo thabiti. Mambo mengine vipi dada yangu. Mia
Usihofu mkuu. Mimi namwamini sana mpenzi wangu Heaven on Earth aka H.O.E. Ana msimamo thabiti. Mambo mengine vipi dada yangu. Mia
morning baby, how are you? miaGood morning dear
Usihofu mkuu. Mimi namwamini sana mpenzi wangu Heaven on Earth aka H.O.E. Ana msimamo thabiti. Mambo mengine vipi dada yangu. Mia
Japo huwa hatupatani,lakini namwelewaga sana huyu Heaven on Earth
nahisi itakuwa poa sana tujenga mahusiano,na endapo anakubaliana nami yawe ya ki-jf tuu
labda kama tukinogewa,nahofia tu waandishi wa udaku wa jf kina warumi wataifatilia sanaa..
..nisiongee sana Heaven on Earth kuja tukubaliane hapa mbele za wadau,nakaribisha wenye mapingamizi
mbona nyie jinsia moja.
Una uhakika na unachokiongea?
halafu wewe mkwe hujatulia kabisa,
Shikamoo mama mkwe mrembo DEMBA, nimetulia sana mimi mbona hahahahhahaaaa. Hao wengine wapita njia tu mimi niko na mtoto wenu sungura1980.
mbona mi naona kama mwanangu sungura1980 umemuweka kiganjani vile....
Kweli hii couple itakuwa kali yake
Bantu lady,Demba na wengine naimani mtakuwa wazima wa afya