Mkuu huu ndio mziki wa kumuua SIMBA wa maonyesho:
1.Yaw Berko.
2.Juma Abdul
3.Oscar Joshua
4.Cannavaro
5.Yondani
6.Twite
7.Chuji.
8.Niyonzima
9.Kiiza
10.Bahanuzi
11.Msuva
Bench:
1.Barthez
2.Nsajigwa
3.Mwasika
4.Nizar
5.Kavumbagu
6.Gumbo"fundi"
Fair analysis, tayari Yanga wanaingia wakiwa na kumbukumbu ya kupigwa tatu bila na Mtibwa kwenye ligi wakati Simba anaingia na record ya kutokufungwa hata mechi moja wala kutoa draw. Psychologically Simba wapo better zaidi kuliko Yanga.
Again Yanga wapo under pressure baada ya kuchapwa bao tano bila na Simba katika mechi yao ya mwisho, na hivyo nategemea kuona wakicheza kwa tahadhari kubwa sana.
Kiuchezaji Yanga ni wazuri na hasa wachezaji wa kati, huwa wanapendelea kucheza mpira wa sekeseke, wa kukimbiza, that's their style of play. They do not play an entertaining football most of the time.
Simba mara nyingi wanacheza mpira wa kupanga mashambulizi, they pass the ball around and they are pretty entertaining. Kwa kumkosa Okwi Simba wana pigo kubwa sana pale mbele. Mara nyingi Sunzu sio mchezaji skillfull sana katika kuwapenya mabeki ila kuwa anajiposion vizuri na kuscore very important goals. Mara nyingi anapokabwa sana anakuwa haonekani mpaka anasahaulika, na ndio hapo anapoweza kufanya madhara.
Tunategemea mpira mzuri ila ushindi utaenda kwa yeyote, wote wana deserve kushinda.
Jinsi Ngassa atakavyofichwa leo pale mbele kumbukumbu za tukio lake la kuibusu jezi ya Yanga lazima zitatolewa kumbe maskini ni kufichwa tu,chezea ukuta wa Berlin nyinyi...
Ole wenu fedha zenu za kifisadi mkamhonge REFA!!!!:eyebrows:
Mkuu Pdidy...naona umeamua kufunga goli la mbali....pamoja sana kaka....anyway kwangu mi wapendwa leo naona MAJINI YANACHEZA NA MAJINI YENZAKE SASA USHINDI UTATEGEMEA NANI KATIKAA WALIOMINI MAJINI MMOJA WAPO AKAMWAMINI YESU KRISTO WA NAZARETHI ..BIBLIA INASEMA MUNGU ALIMTAFUTA MMOJA TU ILI AOKOE SODOMA NA GOMORA.SO LEO WAAMBIEN NDUGU ZENU KAMA KUNA MCHEZAJI ATAACHANA NA KURUKA UKUTA AMA KUNYWA MAJI YA BAHARI NA KUMWAMINI MUNGU ALIE HAI TIMU HIYO NDIO NAENDA KUISHAINGILIA TAIFA NA MTU HHUYO NI YAWBERKO NA TIMU HIYO UNAIJUA MWENYWE........
Ha ha ha ha ha ha!he! he! hii nayo timu au masharobaro a.k.a Wasafi na Rais wa Wasafi MBUYU a.k.a UBUYU!
Under 20 mtatufunga kwani team yenu imeizidi ubora team yetu lkn hapo kwa Wakubwa hamtaamini.Tunaanza kwanza na timu ya U20, tuwapige halafu tunakuja tunamalizia na kaka zao, nitarejea hapa baada ya mechi ya U20.