Siamini kabisa kuwa Serikali yetu ya Awamu ya Tano inaweza kumdhuru mtu kama MO kwa kuwa ni mwekezaji mkubwa na serikali ndiko inakoelekea. Acheni kuleta chuki na fitina kwa articles ambazo ni za kishabiki na ki activists ili kuipaka serikali matope.
Mkuu yaweza kuwa plastic surgery au mask, intelligentsia ya Sikh hizi iko bize kuua Chadema.Eti ameletwa dereva wa Uber anasema watekaji wazungu! Mbona walio kuwa ndani ya gym hakuna aliyesema kuna mzungu? Au huyo Uber ni 'wasiojulikana' naye?
Ukianza kula nyama ya mtu hauachi, na siku ukikosa mtu hata mama yako anageuka asusa
Mbona hatuja kuona unapiga hizo kelele? Au nyie ndio wale wasemao "hayatuhusu hayo!"Duh hadi kero sasa..yani kila tukio linageuka sera ya siasa,acheni ushabiki wa ki-siasa wa namna hii.
Huu ungekua muda mzuri kupiga kelele tume huru ya uchaguzi
Huu ungekua muda wa kupiga kelele katiba mpya...na mengine kibao
Ikifika tena 2020 tutabaki kulialia na kuzidi kuongozwa na ma-lofa wa CCM
nisome vizuriUmefaidika nini na hayo mabadiliko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "
Give me power...only i need is powerMbona hatuja kuona unapiga hizo kelele? Au nyie ndio wale wasemao "hayatuhusu hayo!"
Give me power...only i need is powerMbona hatuja kuona unapiga hizo kelele? Au nyie ndio wale wasemao "hayatuhusu hayo!"
Sasa ni zamu ya ccm wenyewe kuidai katiba mpya, wapinzani waishatimiza wajibu.Duh hadi kero sasa..yani kila tukio linageuka sera ya siasa,acheni ushabiki wa ki-siasa wa namna hii.
Huu ungekua muda mzuri kupiga kelele tume huru ya uchaguzi
Huu ungekua muda wa kupiga kelele katiba mpya...na mengine kibao
Ikifika tena 2020 tutabaki kulialia na kuzidi kuongozwa na ma-lofa wa CCM
he! kumbe unawajua....Watekaji wameanza kuichafua serikali,
Tanzania nchi ya amani walinzi wa nini. Hii itakuwa kuna kitu kawagusa ccmhivi mo hana hata walinzi
.....might have gone wrong.... Sivyo ulivyoandika.
Kwa nini mkuu?Watu kama ninyi ndio munanoifanya niandike kiingereza nikiwa na mbili kichwani.
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc and their supporters Chadema members and supporters be prepared .Vita haina macho mtatutambuaNdio bavicha walivyo hivyo.
That sounds good.Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc Chadema members be prepared .Vita haina macho mtatutambua