Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

SGR lengo lake ni kubeba mizigo ya nchi jirani na kukuza uchumi, inapaswa kufika haraka Mwanza na Kigoma, japo inasuasua sana sijui tatizo nini, kubeba abiria ni Bonus tu, ikifika mwisho wake TZ itakuwa level ingine na Ke watatuamkia
ww amka. wacha kujijaza ujinga!
mutabakia kufukuza upepo miaka nenda rudi.
 
Wewe unajiona umeamka sio?😎
the gap keeps widening, alafu mtu anaongea pumba.... 🤮
FB_IMG_1746395412656.jpg

IMG_20250427_112645.jpg

Gh1D-RFWIAAYFLG.jpeg
 
Vipande vya Makutupora Tabora, na Tabora Isaka ni vifupi sana na kazi inafanywa na Yerpi.
yuko wapi huyo Yerpi???
hata Dar-Moro pia ilikua kipande kifupi sana lakini iliwachukua miaka kumi kukamilika.
siku reli ikifika Tabora, nahama hili jukwaa 😁😁.
IMG_20250224_174413.jpg
 
Back
Top Bottom