Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
- Thread starter
- #19,961
Ili mshindane na Tanzania huwa inawalazimu mtumie propaganda na uongo.
Ili mshindane na Tanzania huwa inawalazimu mtumie propaganda na uongo.
View: https://x.com/richardfutbal/status/1922969760385376443?s=46
Hawa nyang'au wanafikiri ni gor mahia na shabana ha ha ha😁Fans wa Simba na Yanga wanataniana wewe unachukulia post zao serious, hiyo picha ni ya muda mrefu hiyo.
Wiki imekua ndefu kivipi kwake yeye!?aisee... hii wiki imekuwa ndefu sana kwa bi kizimkazi 🤣
cheki hapa 👇Wiki imekua ndefu kivipi kwake yeye!?
.yaani hakuna kubembeleza punda kwa mteremko.. hii vita Mama hayawezi 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 ..hapa ni piga ua..
View: https://x.com/Sativa255/status/1924782137812619325
Kumbe we una fikra finyu hapo!?
Mpaka Leo hawajaongea chochote kimyaaaa . Watakuwa wamefinnywa pumbu mpaka basiKumbe we una fikra finyu hapo!?
Wanaharakati wenu walikamatwa Kesha na kuwa deported,nani kamnyoosha mwenzake kati ya Tanzania/Mama Samia na ninyi wakenya?
Na vijana wenu wawili waliwekwa rumande siku mbili hadi Jana ndio wametolewa.
Nani kamnyorosha mwenzake!?
😂😂😂😂Unajiskia hata unavyoongea.
Hiyo ni meseji mama anatuma kwenu,hataruhusiwa kenge yeyote kuiingilia sovereignty ya TZ.
Hawa jamaa wanapenda kujipa ukubwa ambao hawana na umuhimu ambao hawaustahili.Mpaka Leo hawajaongea chochote kimyaaaa . Watakuwa wamefinnywa pumbu mpaka basi