Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nigeria has no electric trains, plus why hawa Waaafrica treni yetu wanaiita SGR, ipi kati ya hizo sio SGR? Kwanini inakuwa ngumu kuadmit kuwa ni high speed train?
High speed train inakua considered kama inauwezo wa kwenda mwendo kuanzia 250km/hr kwenye hiyo reli iliyojengwa..
 
Ila huu mfuatano wa ujenzi wa vipande vya SGR sijui ni akili ya wapi.

Mwanza-Isaka (63%) ikikamilika itakaa tu bila matumizi kusubiri hivyo vipande viwili vya Makutupora-Tabora (15%) na Tabora-Isaka (7%)

Unasafirisha nini au nani Mza-Isaka?
wanasema treni ikifika Mukatupora, inamea mabawa na kupaa hadi Isaka na kuendelea na safari.
 
Nigeria has no electric trains, plus why hawa Waaafrica treni yetu wanaiita SGR, ipi kati ya hizo sio SGR? Kwanini inakuwa ngumu kuadmit kuwa ni high speed train?
🤣🤣🤣 yaani leo nilikua sijacheka tokea asubuhi...
GaMPt57XsAA7rUr.jpeg
 
Back
Top Bottom