Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Reality check!
Gpc-a7MXYAAfOhi.jpeg
 
Wapi Kimara-Kibaha yenye ilikua inaenda kuifunika Thika Superhighway ??
IMG_20250427_205730.jpg
 
Badala ya kuweka miradi, unaweka 3D images.

Kenya haina pesa ya kujenga hiyo kitu.

Unless you give it to Chinese again, for 60 years mpite kwa kulipia.

Mlishapata mkopo wa kupeleka Diesel SGR to Malaba😂😂😂

View attachment 3318287
Mkuu, huo ni mfano tu wa mambo yatakavyokuwa. Subiria mradi kuanza kisha utapata majibu. Subiria kuona more than 30 interchanges namna hii 👇👇
High_Five.jpg

High-five, Texas.
Yaani tunaileta Amerika ndani ya Afrika Mashariki so hakutakua na ulazima wa ww kupanda ndege kuenda Amerika kushangaashangaa na kukenua mimeno. Mambo yote hayo utayapata Kenya.
Kisha huo mradi haujengwi na Kenya, inajengwa na PPP so haitakua mzigo kwa mwananchi.
Check hapa chini kisha utanielewa 👇
DrPD9q9X0AAXfyC.jpeg

DrPD8WYWoAAUNNX.jpeg

😁😁
 
One thing I genuinely admire about Kenyans is your boldness to disseminate lies! By all these pictures one might mistaken Kenya for China. Kumbe asijue kuwa hiki ni kabehewa kamoja tu kwenye mchanganyiko wa mavitu ya hovyo yanayo vutwa na diesel engine. 😂 😂 😂
pole kama nimekukwaza 🤣
 
Baada ya Dar kusikia kuhusu Nbo-Msa Expressway, prepare for a Dar-Dom Expressway (that will never materialise) soon!
IMG_20250428_200917.jpg
 
Back
Top Bottom