Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,291
- 3,647
BRT ina miaka 10 kwenye operations.
miaka 10 na abiria wako wa kutosha,,, kwanini ijifie tu yenyewe au hao abiria hupanda bure? hakuna hela ya marekebisho na ununuzi wa basi mpya?BRT ina miaka 10 kwenye operations.
Basi zimechoka, zimebaki chache.
Ila kuna BUS, CNG Powered 200 ziko njiani.
Kenya hata kujenga BRT mmeshindwa mko busy na uchafu wa Nganya
Kuna shida imetokea, ndio maana kwasasa itaendeshwa kwa PPP...miaka 10 na abiria wako wa kutosha,,, kwanini ijifie tu yenyewe au hao abiria hupanda bure? hakuna hela ya marekebisho na ununuzi wa basi mpya?
Kenya hakuna shida hio ya public transport ndio maana hatutilii maanani BRT.
View attachment 3332021
Sema Kunguni Transmitter , Yaani mfano mdogo, Kunguni kutoka kwa akina lee hadi kwa akina Edward Wanjala 😂😂😂😂😂 bila nauli !BRT ina miaka 10 kwenye operations.
Basi zimechoka, zimebaki chache.
Ila kuna BUS, CNG Powered 200 ziko njiani.
Kenya hata kujenga BRT mmeshindwa mko busy na uchafu wa Nganya
hujielewi...Kuna shida imetokea, ndio maana kwasasa itaendeshwa kwa PPP...
Majiji yote ya KISASA duniani kote lazima yawe na aidha:
- BRT
- Trams au
- Trains
Ninyi mmefeli na Nganya chaos mnaiofanya jiji la kisasa, ovyoo
hata stesheni pia walisema watajenga ya ghorofa...Tatizo letu ni huyu mpuuzi ...mabehewa yq gorofa yanaoza sijui wsliyaleta ili iweje hasi sasa hakuna kinacho julikana
😂😂😂 chizi ww.Walileta hilo behewa kwa ajili ya kujifariji tu, wana donda flani ambalo linauma muda wote na donda lenyewe liko rohoni aisee 😩 hapo bado treni ya ghorofa na behewa za mizigo
Mwendokas ni mateso makali sana
pole sana bro. hakika yale ni mateso.Sijawahi ona usafiri wenye mahangaiko kama usafiri wa mwendokas
Ni ya ghorofahata stesheni pia walisema watajenga ya ghorofa...
Ni ya ghorofahata stesheni pia walisema watajenga ya ghorofa...
Wewe mkunya ni kibuyuhujielewi...
tuliambiwa stesheni zitakua na floors ishirini humu 😁.Ni ya ghorofa
Hiyo ni ofisi!tuliambiwa stesheni zitakua na floors ishirini humu 😁.
mwisho wake, walikuja kujenga vibanda vya kuku 😁😁😁
View attachment 3333228
View attachment 3333229
View attachment 3333230
Yaani jengo linatumika, wewe unaleta picha mwaka jana??tuliambiwa stesheni zitakua na floors ishirini humu 😁.
mwisho wake, walikuja kujenga vibanda vya kuku 😁😁😁
View attachment 3333228
View attachment 3333229
View attachment 3333230
Yaani jengo linatumika, wewe unaleta picha mwaka jana??
I can feel your pain.
View: https://youtube.com/shorts/sBIesmAWE3c?si=lI1d4lfF-S3_glxM