DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 17,991
- 45,496
Je huu msemo wangu au ushairi pale cosota wanaweza nipatia haki miliki "kufuga ndevu nikupenda wembe sh .100"
😀😀😀Wembe kuwa shilingi 100 sio shida, shida ni kuushika huo wembe na kuuweka kwenye kidevu. Unashangaa unatoka na damu.