Je, huu msemo wangu naweza kuusajili kihalali?

Tunapita1

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
561
1,006
Huu msemo wangu nataka utumike kama Fasihi mashuleni ila kwanza nataka ili wazo niende cosota kupata usajili.

"Kufuga ndevu nikupenda wembe sh. Mia"

Ushauri je naweza kwenda Cosota kuusajili msemo wangu?
 
Hivi ktk kusajili kuna tozo yoyote? Na baada yakusajili kuna ada yoyote yakulipia kila mwaka au ukifanikiwa kusajili ndo ushamaliza kila kitu
 
Kuna mahali ungeweka semi colon ili msomaji asihangaike.
Nimesoma mara mbili sijaelewa, mara ya tatu nimeelewa.
 
Back
Top Bottom