Cosmological truth

Cosmological truth

Sasa kwa sababu wewe ndiye umelinganisha habari za marais na habari za Mungu, ukikubali kwamba Trump, Magufuli na Duterte ni marais, kwa nini unakataa kwamba ng'ombe na jua si miungu kwako?

Na kama ng'ombe na jua si miungu kwako, kwa nini umewataja kuwalinganisha katika mfano wa Mungu wako?

Pia hujajibu swali langu, kuna pembetatu ambalo ni duara?

Unaogopa nini kujibu swali hili rahisi?
 
Umeishiwa hoja sasa, halafu haya unayoniuliza hayajibu ni kwanini mavi sio mungu?

Ni hivi sijalinganisha marais na mungu bali nimejaribu kuelezea kwa mfano kile ulichonijibu,hivyo hakuna nilicholinganisha ila wewe badala ya kueleza ni vp mavi si mungu matokeo yake ukalinganisha mungu wetu na mavi..hivyo mie nikakueleza kuwa haukutakiwa kulinganisha ila haukunielewa ndipo nikakutolea mfano kuonesha kuwa ulichojibu kijibu ni mlinganisho tu na si maelezo yaliyokuwa yakitakiwa.

Umeniuliza nami nitakujibu kama ulivyouliza kuhusu pembe tatu duara..jibu langu:sijui.

Haya wakati unaniuliza haya maswali naomba umalizie kutoa maelezo ni kwanini unaona mavi si mungu? kama huwezi kujibu bora useme.
 
This Is Very Great Question.

Truth is being in accord with fact or reality.Facts are a subset of truths ,they are truths we have verified .

Truth and fact are objective.

Faith and Belief are subjective.

Only the objective can be verified .

Faith is relying on something without being certain that it is reliable.or

Faith is a personal belief in the nature of reliality .Faith has nothing to do with the questions,it is unquestioning acceptance of the ultimate authority.

if people have faith in God ,maana yake God is ultimate authority,so you are not allowed to ask so many questions kwasababu utakufuru,that is what faith tells you .

Truth is all about verification of claims (Faith )

mfano ,
Christians wanaamini,Christianity is the only way to heaven ,here ,Christians are making a claim of belief or opinions,this is not the fact or truth until it has been verified.

Muslims will say ,Islam is the only way to Jannah (Heaven ) ,that is a claim of belief or opinions ,has anyone proven the existence of Jannah ?,has anyone proven Islam
Is the only way to heaven ? It is just an Islamic faith ,not truth.Truth has to verify the claim.Same thing to other religions ,their claims won't be considered as truth until verified .

Because ,the truth is ,people believe what they wanna believe.

Hence faith is not 100% reliable path to truth .

If today I say ,Black People are superior than white People ,and that is based on my faith ,will you consider my faith as truth ? If not ,then hiyo ndiyo vurugu iliyojaa kwenye dini until people emancipate themselves from mental slavery .

Faith ni state of mind.

Most of the truth is found in science ,philosophy,novels,movies ,music,poetry,performing arts .as well as scriptures .

Movies ,musics and arts have hidden truth convey the message .

Imagine mtu kama Bob Marley was not even schooled,but he was talking about Mental Slavery,and he says

"None but ourselves can free our mind"

kwasababu faith is something personal,it has to start from mind .

He says ," Have no Fear for atomic energy,cause none of them can stop the time ,How long shall they kill our prophets "

Prophet means those who spread the truth not myth ,the prophets of our time ,kina Bob Marley ,The Beatles ,John lenon,Nikola Tesla ,Martin Jr ,JFK etc .most of them died at the hands of man.

JFK was humiliated because

•He signed a treaty to ban nuclear testing.

•He refused to invade Cuba in 1962 .

•He set out the withdraw from Vietnam.,He did not like bloodshed.They killed him because he wanted to change things.

The war is the biggest business in America,worth $80billion a year.

His last speach ,JFK said ,We all Inhabit this small planet ,we all breath the same air ,we all cherish our children futures ,and we all mortal .

in 1963 ,it was public execution to prevent the ultimate Truth,CIA ,FBI,WHITE HOUSE AND THE PENTAGON all combined to end the ultimate truth of life ,hence Bob says ,"How long shall they kill our prophets"

This was the hidden message in Music .

He says ,have no fear ,none of them can stop the time .The deaths of prophets JFK ,MARTIN JR ,Nikola etc at the hands of man,won't stop the time (the truth ) .

He says "We have to fulfill the book "

he is saying we have to spread the ultimate truth of life .loving kindness to the world,Religions have failed human race,we now hating ,killing each other like animals ,Only truth will set you free .

These people were spreading the true Gospel.Do you even know Redemption was the last song on his final album with the wailers?

Life is coming to you from all directions,but your mind is blocking it,The Mental Slavery.
I was born Muslim and still practice it, I am independent and my brain is very independent. I have researched alot on religion still find at least islam if you put aside some cultural issues brought by it and focus on Quran you will find it very reasonable, it encourages reading and reasoning.

I differ with you also on total rejection of faith and religion apart from deception they also teach morality and ethics which is very good for this world.

No matter what happen the world will still have ignorant people who believe in everything.

For me I question everything and I have differed with alot of doctrine of islam but I am not for total rejection of faith and religion.

For me if the government can do more on regulating especially these new churches which lies to people while benefiting from them.

but bravo your articles is very good unfortunately very few can reason and think independently

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Umeishiwa hoja sasa, halafu haya unayoniuliza hayajibu ni kwanini mavi sio mungu?

Ni hivi sijalinganisha marais na mungu bali nimejaribu kuelezea kwa mfano kile ulichonijibu,hivyo hakuna nilicholinganisha ila wewe badala ya kueleza ni vp mavi si mungu matokeo yake ukalinganisha mungu wetu na mavi..hivyo mie nikakueleza kuwa haukutakiwa kulinganisha ila haukunielewa ndipo nikakutolea mfano kuonesha kuwa ulichojibu kijibu ni mlinganisho tu na si maelezo yaliyokuwa yakitakiwa.

Umeniuliza nami nitakujibu kama ulivyouliza kuhusu pembe tatu duara..jibu langu:sijui.

Haya wakati unaniuliza haya maswali naomba umalizie kutoa maelezo ni kwanini unaona mavi si mungu? kama huwezi kujibu bora useme.
Hujajibu swali langu dogo tu.

Kuna pembetatu ambayo ni duara?

Mavi si Mungu kwa sababu hakuna Mungu. Hakuna Mungu kwa sababu hakuna perfect perfection.

Wewe unakubali Duterte,Magufuli na Trump ni marais katika mfano unaolinganisha urais na Miungu wa ng'ombe na jua, halafu unakataa ng'ombe na jua si miungu.

Unachekesha sana.
 
Unaona kweli wewe? nimekujibu kuwa sijui kama kuna pembe tatu duara au wewe una jibu lako mfukoni?

Huo uperfection unahusikaje na mavi kuwa sio mungu hebu toa maelezo.

Maelezo yote yale bado unarudia tena kusema mie nimelinganisha marais na mungu? nimekwambia sijalinganisha marais na mungu,labda sasa ungeeleza ni vp nimelinganisha.
 
Kama hujui kwamba kuna pembetatu duara, kimsingi umesema hujui kwamba kuna Mungu.

Mungu wako ni contradiction kama pembetatu duara, ukiweza ku prove kuna pembetatu duara, utaweza kuni convince Mungu wako yupo.

Kama Mungu ni perfection na hajatoka kwenye kingine chochote, na mavi ni uchafu na hivyo si perfection na yanatoka kama waste product, basi mvi si Mungu huyo.

Au unataka kusema mavi ni Mungu huyo?

Umetoa mfano wa ng'ombe na jua kama miungu kama walivyo Duterte, Magufuli na Trump kama marais.

Nikakuuliza, Magufuli,Trump na Duterte ni marais? ukakubali.

Utakataa vipi kwamba ng'ombe na jua si miungu kwako?
 
Twende taratibu kijana,tutafika tu

Mungu ni nini?
 
Naona unanichosha tu,yani habari za pembe tatu duara umezileta wewe kwa mtazamo wewe mwenyewe kwa kuniuliza kama kuna pembe tatu duara? nikajibu kuwa sijui kama kuna pembe tatu duara,matokeo yake unaniambia sijui kama kuna mungu kwa sababu sijui kama kuna pembe tatu duara...unafurahisha kwa kweli.

Unarudia tena yaleyale,habari za kama mungu ni perfection zinaingiaje hapa wakati unatakiwa ueleze kuwa mavi sio mungu kwa sababu gani na si kuleta habari za uperfection hapa..mi naona hili limekushinda.

Mkuu hapa ndiyo ulipokwama? maana naona unalazimisha kuwa mie nimelinganisha marais na miungu,sasa hebu nukuu hiyo sehemu niliyolinganisha marais na miungu.
 
Unakubali kwamba Mungu wako ni perfection?

Unakubali katika contradiction au unaikataa contradiction?
 
Wazungu wanàtuita manyani nami nakubali kuwa sisi ni manyani kama ifuatavyo: (1) Waziri msomi huenda mwanasheria anashauriwa na neocolonialists kuwa tutawapa 4% ya madini yenu afu nae anakubali na kusaini mkataba wa miaka 99 huku akitabasamu. (2) Rais anakubali miili ya wananchi wake itumiwe na wanafunzi wa udaktari wa kizungu kwa majaribio ya upasuaji kwakuwa mwili wa mzungu hauchezewi na rais anaruhusu huku akitabasam kama zuzu. (3) Rais na mawaziri kukubali watu wao kutumika kama specmen za kutest madawa ya binadamu. (4) Rais kuletewa misaada ya net za mbu huku madini yakibebwa (5) wazir kuiibia nchi baadae anaamua kurudisha kiasi fulani na watu wanachekelea eti ni mzalendo (6) Viongoz wa serkal kusaini baadhi ya mikataba ya kipumbav utahisi alikuwa msukule au marehem akati akisaini.(7) Rais mstaaf kutukana wananchi wake kuwa ni malofa, wapumbav na akati alipora na kukwiba mabilion na hachukuliwi hatua pia bado anashangiliwa. Sasa kwa ushenzi huo mchache nilioutaja kwanini mzungu asituite sisi kuwa ni NGUCHIRO a.k.a Mongoose? Wazungu wanakuja wakiwa masikini lakini baada ya muda mfupi anakuwa bilionea sasa kwanini asiseme sisi ni Wanyama pori maana wao wanachojua ni matunda, majani, mizizi madini hawayajui.
 
ata motorola ya torch usingekua nayo kama si ao walovuka ngalawa
Hivi kwa mfano waafrika tusingeletewa dini wala chochote Yani tungebaki wenyewe tu tukiendelea kuyafanya yale tulikuwa tukiyafanya wenyewe na kuishi kwa mfumo wetu wenyewe,je mnaweza kufikiri sasa tungekuwa tupo vp?
 
anatajwa mungu aliekuumba seuze ww raia wa magufuli
Hivi hamuwezagi kudiscuss mambo yenu bila kunitaja taja??

Bold bold bold.!!
Amewafanya nini??

Watoto wa kiume mnakuwa kama mabinti...

Fanya yako, wacha nifanye yangu... Sio lazima unikubali.! Akinikubali mama yangu, ndugu zangu, Cheupe wangu, marafiki zangu inatosha...

Acheni kunitaja taja kwenye mabishano yenu..

Nitaanza kuwatoza ushuru kwa kunitaja taja jina langu.!!

Mnaharibu uzi uzuri kwa kuleta mabishano yenu ya kike kike...

Stupid...
i
 
This Is Very Great Question.

Truth is being in accord with fact or reality.Facts are a subset of truths ,they are truths we have verified .

Truth and fact are objective.

Faith and Belief are subjective.

Only the objective can be verified .

Faith is relying on something without being certain that it is reliable.or

Faith is a personal belief in the nature of reliality .Faith has nothing to do with the questions,it is unquestioning acceptance of the ultimate authority.

if people have faith in God ,maana yake God is ultimate authority,so you are not allowed to ask so many questions kwasababu utakufuru,that is what faith tells you .

Truth is all about verification of claims (Faith )

mfano ,
Christians wanaamini,Christianity is the only way to heaven ,here ,Christians are making a claim of belief or opinions,this is not the fact or truth until it has been verified.

Muslims will say ,Islam is the only way to Jannah (Heaven ) ,that is a claim of belief or opinions ,has anyone proven the existence of Jannah ?,has anyone proven Islam
Is the only way to heaven ? It is just an Islamic faith ,not truth.Truth has to verify the claim.Same thing to other religions ,their claims won't be considered as truth until verified .

Because ,the truth is ,people believe what they wanna believe.

Hence faith is not 100% reliable path to truth .

If today I say ,Black People are superior than white People ,and that is based on my faith ,will you consider my faith as truth ? If not ,then hiyo ndiyo vurugu iliyojaa kwenye dini until people emancipate themselves from mental slavery .

Faith ni state of mind.

Most of the truth is found in science ,philosophy,novels,movies ,music,poetry,performing arts .as well as scriptures .

Movies ,musics and arts have hidden truth convey the message .

Imagine mtu kama Bob Marley was not even schooled,but he was talking about Mental Slavery,and he says

"None but ourselves can free our mind"

kwasababu faith is something personal,it has to start from mind .

He says ," Have no Fear for atomic energy,cause none of them can stop the time ,How long shall they kill our prophets "

Prophet means those who spread the truth not myth ,the prophets of our time ,kina Bob Marley ,The Beatles ,John lenon,Nikola Tesla ,Martin Jr ,JFK etc .most of them died at the hands of man.

JFK was humiliated because

•He signed a treaty to ban nuclear testing.

•He refused to invade Cuba in 1962 .

•He set out the withdraw from Vietnam.,He did not like bloodshed.They killed him because he wanted to change things.

The war is the biggest business in America,worth $80billion a year.

His last speach ,JFK said ,We all Inhabit this small planet ,we all breath the same air ,we all cherish our children futures ,and we all mortal .

in 1963 ,it was public execution to prevent the ultimate Truth,CIA ,FBI,WHITE HOUSE AND THE PENTAGON all combined to end the ultimate truth of life ,hence Bob says ,"How long shall they kill our prophets"

This was the hidden message in Music .

He says ,have no fear ,none of them can stop the time .The deaths of prophets JFK ,MARTIN JR ,Nikola etc at the hands of man,won't stop the time (the truth ) .

He says "We have to fulfill the book "

he is saying we have to spread the ultimate truth of life .loving kindness to the world,Religions have failed human race,we now hating ,killing each other like animals ,Only truth will set you free .

These people were spreading the true Gospel.Do you even know Redemption was the last song on his final album with the wailers?

Life is coming to you from all directions,but your mind is blocking it,The Mental Slavery.
I concur
 
Mk54 Salute kwako. I'm very much impressed na reasoning yako. U seem to be pretty well informed. My little question to you sir, does your life, (habits, behaviours, attitudes) reflect your massive storage of knowledge?? Can people around you take you as a living testimony?? role model??
Haha
 
Qur'an isn't a work of the man, if it's you could have seen a lot of contradiction between verses
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom