Cosmological truth

Cosmological truth

Bora uandike Kiswahili tu. Maana hayo madudu uliyoandika hayaeleweki na wala hayaelewekiki.

Kama kila kitu complex kinahitaji designer, Mungu anahitaji designer?

Yes or No?
Kumbe nachati na form six,,

Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
 
This is so sad ,Yani I couldn't believe my eyes.With those sentences "From What I Know ". ," believe me". I call them wishy-washy sentence ,hence your argument is very weak than any other argument.You haven't even tried to touch the Topic ,you are out of it .

Stupid Is As Stupid Does ,Sir !

Well,did I lie saying Catholic Church ni criminal organization?How many children have been sexually abused by Priests within Catholic Church administration?

Did I lie saying Trinity ni false teaching ?

Did I lie saying Catholic Church built over pagan system ?

Did I lie saying Muslims have been indoctrinated into hatred Of other religions and cultures ?

Did I lie saying Muslims believe Quran has never been distorted ?

How many people believe Jesus died for their sin,is that not false teaching?

Did I lie saying black beings have been enslaved mentally ?

Those are the things you should touch.

Isn't mental slavery makes beautiful African man or woman to bleach his or her skin making it white because they have made to believe white skin is better than black skin ?

Isn't mental slavery and colonialism have made many Africans believe God or Jesus Christ is white ?When blacks close eyes to pray ,they imagine white God in the form of a white Jesus ,

Isn't mental slavery,today ,dark skinned women are called all sorts of hurtful names not by whites ,but blacks themselves.?

Black people are the most self hating and self destructive physically and mentally than any other community on earth .It's after effects of colonization.it is hard to admit,but that is Ultimate truth.

And let me tell you ,Colonial Missionary schools in Africa was set up not to educate the people but as brainwashing institution to spread the Gospel and Mental slavery,and that is the reason back in the days,it was very difficult to find an educated muslim,it was only for those who accept Gospel.Using education as a tool ,they introduced mental slavery and religion.

Colonial Missionary Schools isn't separable from colonialism.It is one and the same thing .

Today ,If you ask most of black beings ,hey what on earth are you up to ?
They will say ,we are here to worship Jesus ,and the interesting thing is ,Jesus was just a being ,being ,not the whole thing .

If You have the balls to debate ,let's stop and think .Don't come here with Mavi Mavi " AM Tanzanian Living In Europe " who cares about that ,? You Don't even know where I am right now .do you ?

Religion is a man made device and is often about loyalty to institutions,More people have been killed and tortured over religious beliefs than any other reason in history .

You can't turn men into slaves unless you break their spirit .kill their capacity to think and tie them together .If You kill a man 's sense of personal value ,he will submit.It is that simple .
Is also possible to impact your knowledge without insulting others.

Sometimes we should agree to disagree.

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Wadau wamekimbia thread?
Kama mtu kufikiria kitu chochote kile hawezi bila kukihusisha na maswala ya udini, usitegemee hui uzi utafika popote. Inasikitisha sana kuona watu wanampenda na kumpigania Mungu wasiemuelewa. Maana hata kama kweli huyu Mungu wanaemuimba yupo hawezi furahia jinsi watu wake wanavyofanya na kuendesha mambo kwa kisingizio chake.
 
Kiranga alijiunga January, 2009 na Huyu unayedai kuwa ni yeye amebadilisha id alijiunga April 2009. So mtu mmoja afungue multiple id katika mwaka mmoja ili moja aje aitumie 2017. Na yote haya unayajua ilhali wewe mwenyewe umejiunga jf 2014.
Watu wakikosa majibu ya hoja, ni kawaida kuanzisha viroja.
 
Imani sahihi ni kumuamini Mungu yupi? Wa biblia/quran au wa dini ipi manake wapo wengi....kwsababu huwez kutenganisha kati ya dini na mungu, bila dini kutaja uwepo wa mungu sidhan kama leo hii tungemzungumzia

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Mkuu kabla ya kujibu swali lako ningeomba kujua kwanza kutoka kwako,wewe unafikiri kwa mtazamo wako ni kwanini watu wanaamini mungu?
 
Kiranga alijiunga January, 2009 na Huyu unayedai kuwa ni yeye amebadilisha id alijiunga April 2009. So mtu mmoja afungue multiple id katika mwaka mmoja ili moja aje aitumie 2017. Na yote haya unayajua ilhali wewe mwenyewe umejiunga jf 2014.
Wewe umejiunga mwaka huu unadhani unajua kwanini watu wanasema Al-watan ndiye Kiranga?
 
Kwani sijakujibu swali lako?

Unajua kusoma au unahitaji kusomewa?

Katika maelezo yako umelinganisha mungu wetu ambaye ni perfection kukataa kuwa mavi si mungu kwa sababu si perfection,kwa maana hiyo mavi yamekosa si sifa ya mungu wetu (perfection) na ndiyo maana umekataa kuwa si mungu.

Hukutakiwa kufanya kufanya hivyo bali ulitakiwa ueleze ni vp mavi si mungu na kulinganisha mavi na mungu wetu kama ulivyofanya.
 
Hapa hata wewe mwenyewe unaelewa ulichoandika?
 
Hapa hata wewe mwenyewe unaelewa ulichoandika?
Mimi naelewa nilichoandika ila tatizo ni wewe ambaye hukuelewa ulichojibu.

Ni sawa na mtu akuulize mwiimbaji R.kelly ni rais ? halafu wewe ukajibu sio rais kwa sababu Trump ni mweupe na R.kelly ni mweusi,unakataa kuwa R.kelly sio rais kwa kumlinganisha na Trump.

Wewe badala ya kueleza ni vp mavi si mungu matokeo yake ukatumia sifa ya mungu wetu na ku linganisha na mavi na ndipo ukasema mavi si mungu kwa sababu mavi si perfection na mungu wetu kinadharia ni perfection,hivyo ukaonesha utofauti wa mungu wetu na mavi.

Kwa maana hiyo haukueleza kwa vp mavi yenye kama mavi ni vp sio mungu.
 
Mimi naelewa nilichoandika ila tatizo ni wewe ambaye hukuelewa ulijibu.

Ni sawa na mtu akuulize mwiimbaji R.kelly ni rais ? halafu wewe ukajibu sio rais kwa sababu Trump ni mweupe na R.kelly ni mweusi,unakataa kuwa R.kelly sio rais kwa kumlinganisha na Trump.

Wewe badala ya kueleza ni vp mavi si mungu matokeo yake ukatumia sifa ya mungu wetu na ku linganisha na mavi na ndipo ukasema mavi si mungu kwa sababu mavi si perfection na mungu wetu kinadharia ni perfection,hivyo ukaonesha utofauti wa mungu wetu na mavi.

Kwa maana hiyo haukueleza kwa vp mavi yenye kama mavi ni vp sio mungu.

Kwa nini nisitumie sifa ya huyo mnaemdai Mungu?

Ulitaka nitumie sifa gani zaidi ya sifa zako unazompa Mungu wako mimi mtu ambaye sikubali Mungu yupo wakati naongea na wewe?

Mfano wako wa R. Kelly na Trump si wa kweli kwa sababu Trump umemtoa hewani tu.

Kwa nini umemuongelea Trump na wala si Duterte wala Magufuli?
 
Swali lako zuri kwa nini nimemtaja Trump na si Duterte au Magufuli,na ndiyo sawa na wewe kwa maana ya kwamba unajua kuwa kuna watu mungu wao ni ng'ombe,wengine jua n.k

Ila wewe ukatumia sifa za mungu wetu(ambazo hauzikubali) kulinganisha na mavi,mbona unavyokataa kuwa mungu wetu sio mungu hautumii sifa za mungu ngo'ombe au jua kukataa kuwa mungu wetu sio mungu?

Hivyo maelezo yako yalikuwa ni sawa na kulinganisha R.kelly na Trump na sio kueleza kwamba R.kelly sio rais.
 
Kuna duara ambalo ni pembetatu?

Ukikubali kwamba kuna watu Mungu wao ni ng'ombe, wengine jua etc kama vile kuna watu rais wao ni Duterte na Magufuli, je, unakubali hivyo hivyo kwamba ng'ombe na jua ni miungu pia? Kama unavyokubali kwamba Duterte na Magufuli ni marais pia?
 
Ndiyo kuna watu miungu yao ni ngo'ombe na jua ila mimi sikubali kuwa ng'ombe wala jua ni mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom