Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
-
- #101
Mbona nimekutav mkuu, jina lako like pale naliona.. Angalia pale chini chini kwenye jina limeandikwa kwa herefi kubwa ABDUL KAREEM, nyuma take kuna fakalava, alafu nyuma yake kuna iL Buono..Mkuu kama nimekukosea naomba unisahamehe...
Mbona unashusha uzi Mpya umesahau kunitag bro..
I do deeply Apologize bro
Basi itakua hio notification ndo sijapata bro.. coz uzi nimeukuta tu unazagaa zagaa... Thanks broMbona nimekutav mkuu, jina lako like pale naliona.. Angalia pale chini chini kwenye jina limeandikwa kwa herefi kubwa ABDUL KAREEM, nyuma take kuna fakalava, alafu nyuma yake kuna iL Buono..
Sema notification zinasumbua kufika
Hahahaha! Shukrani sana mkuu..Mkuu the bold heshima kwako hujawahi kuboa toka jf imeanzishwa 2006 enzi za jambo forum
Pole sana mkuu!Basi itakua hio notification ndo sijapata bro.. coz uzi nimeukuta tu unazagaa zagaa... Thanks bro
Elfu tano ya kitanzania..I like the Mafia story .. subscription fee ni kiasi gani?
Elfu tano ya kitanzania..
Karibu!
Italian-American Mafioso Bosses
1.John Gotti (Dapper Don)
2.Alphonce Capone (Scarface, Capone)
3.Lucy Luciano
4.Meyer Lansky
5.Paul Castellano
6.Tony Spilotro
7.Carlos Marcello
8.Bugys Siegel
9.Joseph Bonano
10.Sammy Gravano (The bull)
Infamous Mobsters
Gambino?[/QUOTE
Carlo Gambino........................
Mkuu The Bold much respect sanaaa, hiyo subscription fee ya buku tano ni kwa muda gani na tunatumia masafa gani ikufikie?Elfu tano ya kitanzania..
Karibu!
Ni kwa mwezi mmoja..Mkuu The Bold much respect sanaaa, hiyo subscription fee ya buku tano ni kwa muda gani na tunatumia masafa gani ikufikie?
Kesho mchanaMkuu hii itaendelea lini??
pourqoui?Je vous remercie
Pamoja sana kamandaNi kwa mwezi mmoja..
My number 0718 096 811
Nadhani kuna tatizo la notification maana hata mimi sikupata alert.Mbona nimekutav mkuu, jina lako like pale naliona.. Angalia pale chini chini kwenye jina limeandikwa kwa herefi kubwa ABDUL KAREEM, nyuma take kuna fakalava, alafu nyuma yake kuna iL Buono..
Sema notification zinasumbua kufika