Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,771
- 5,266
How you do, bit.ch ass nigga Nyani?Hey Njabu.....uache kulana denda na boyfriend wako 🤣🤣.

How you do, bit.ch ass nigga Nyani?
Akiba ya pesa? Kuwa serious mkuu...Gumzo la dunia hivi sasa ni kirusi cha Corona.
Kirusi hiki kimeleta kizaizai na sokomoko kila pembe ya dunia.
Nchini Marekani kuna sintofahamu kubwa.
Hakuna ajuaye mwisho wa huyu kirusi.
Hali hiyo imepelekea kutokea kitu kinachoitwa ‘panic buying’.
Sasa hivi ukienda kwenye maduka-masoko [supermarket] mengi kuna baadhi ya bidhaa kuzipta ni mbinde.
Bidhaa hizo ni kama karatasi za chooni, taulo za karatasi, jeli za kusafishia mikono, na kadhalika.
Rafu za maduka-masoko mengi zipo tupu. Hiyo ni kwa sababu watu wengi wanazinunua hizo bidhaa kwa wingi kuliko ilivyo kawaida. Jambo linalopelekea kuwepo na uhaba wa hizo bidhaa kwa sasa.
Hebu ona hizo rafu hapo chini. Ni kutoka duka-soko la Publix.
View attachment 1388155View attachment 1388157View attachment 1388158View attachment 1388159
Sielewi kwa nini watu wanakimbilia sana kuzinunua hizo bidhaa na kuzihodhi majumbani mwao.
Kwangu jambo lenye mantiki zaidi na bora ni kujiwekea akiba ya pesa kuliko kutumia pesa na kununua vitu ambavyo kama itatokea umeugua na hicho kirusi, havitakusaidia kupata nafuu.
Badala ya kununua dawa, watu wananua makaratasi ya chooni!
Halafu Wamarekani wana tabia ya ku-panic sana.
Corona siyo kiama. Lakini jinsi watu wanavyofanya mambo hivi sasa, utadhani kiama ndo kimefika.
Sielewi. Na wala siogopi.
I ain’t never scared![]()
This what happens when a pussy ass like you fights just like mamma told 'emI see you throwing hands with your boyfriend.
Y’all put on one hell of a show😄
Nakubaliana na wewe! Na wimbi lilikuwa kubwa sana hadi serikali ikatoa waraka wa kusema ni "common flue"Corona ilishaingia Bongo tokea mwaka jana. Mimi niliupata huu ugonjwa Desemba mwaka jana nikapona sema kulikuwa hakuna jina au publicity lakini symptoms zote za ugonjwa zilikuwa positive
This what happens when a pussy ass like you fights just like mamma told 'em
Ndio wanapona... Lakini umefikiria kuhusu kasi yake ya usambaaji. Hivi jamii nzima ikiumwa nani atamsaidia mwenzie, au umeshawaza kuhusu idadi ya wagonjwa na wataalamu wa afya kama itakua na speed hii hii.. Je kuna madawa ya kutosha watu wote, na watu wote wana access na hizo dawa?naona wazungu wana exaggerate mambo sana,
corona asilimia kubwa ya wagonjwa wanapona na unaweza kupata iyo corona kimya kimya alafu usijue life likaendelea, vifo ni vichache kuliko wanao recover.. kwa facts hizi sioni tishio kubwa la huyu kirusi (corona)
sielewi uko ulaya wanadatika na nini haswa kwa hili gonjwa
Just like mamma said 😅😅😅You need to work on your technique Njabu.
You throw punches like a girl.
Just like mamma said 😅😅😅
haha mkuu usipanic hivyo kama wadhungu! ni vi flue tu vya kawaidaNdio wanapona... Lakini umefikiria kuhusu kasi yake ya usambaaji. Hivi jamii nzima ikiumwa nani atamsaidia mwenzie, au umeshawaza kuhusu idadi ya wagonjwa na wataalamu wa afya kama itakua na speed hii hii.. Je kuna madawa ya kutosha watu wote, na watu wote wana access na hizo dawa?
Chukulieni poa tuu kisa hauui instantly ila mkiugua wote, kwa wakati mmoja ndio mtajua kwa nini wazungu wanapanick.
Gumzo la dunia hivi sasa ni kirusi cha Corona.
Kirusi hiki kimeleta kizaizai na sokomoko kila pembe ya dunia.
Nchini Marekani kuna sintofahamu kubwa.
Hakuna ajuaye mwisho wa huyu kirusi.
Hali hiyo imepelekea kutokea kitu kinachoitwa ‘panic buying’.
Sasa hivi ukienda kwenye maduka-masoko [supermarket] mengi kuna baadhi ya bidhaa kuzipta ni mbinde.
Bidhaa hizo ni kama karatasi za chooni, taulo za karatasi, jeli za kusafishia mikono, na kadhalika.
Rafu za maduka-masoko mengi zipo tupu. Hiyo ni kwa sababu watu wengi wanazinunua hizo bidhaa kwa wingi kuliko ilivyo kawaida. Jambo linalopelekea kuwepo na uhaba wa hizo bidhaa kwa sasa.
Hebu ona hizo rafu hapo chini. Ni kutoka duka-soko la Publix.
View attachment 1388155View attachment 1388157View attachment 1388158View attachment 1388159
Sielewi kwa nini watu wanakimbilia sana kuzinunua hizo bidhaa na kuzihodhi majumbani mwao.
Kwangu jambo lenye mantiki zaidi na bora ni kujiwekea akiba ya pesa kuliko kutumia pesa na kununua vitu ambavyo kama itatokea umeugua na hicho kirusi, havitakusaidia kupata nafuu.
Badala ya kununua dawa, watu wananua makaratasi ya chooni!
Halafu Wamarekani wana tabia ya ku-panic sana.
Corona siyo kiama. Lakini jinsi watu wanavyofanya mambo hivi sasa, utadhani kiama ndo kimefika.
Sielewi. Na wala siogopi.
I ain’t never scared 💪🏿
Tz kama bado aitaingia hivi! lakini waTz wenyew wapo exicited kweli, nahisi wanatamani corona ishuke kama mvua waishuudie ilivyoHivi TZ mpak sahizi mampya ni yapi kuhusu Corona
Naona watu wamezid kuogopa Covid-19 kuliko malaria na kipindupindu!
SawasawaAsilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.