ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 2,543
- 3,119
Gambe ndio mpango mzima, kagonjwa kama haka utakasikia redioni tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Gambe ndio mpango mzima, kagonjwa kama haka utakasikia redioni tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi kwa upande wangu naona panick imekua kubwa mno naweza kusema kua panick iliyopo kwenye corona ni kubwa kuliko iliyokuwepo kwenye ebola wakati ebola ilikua karibu nasi zaid kuliko hiyo corona.
Nadhani mitandao ya kijamii inachangia zaidi katika hili hasa kwakua nchi waathirika zinajiweza kiuchumi na kipropaganda pia janga likiwa kubwa kwao basi na kwetu ni hivo hivo vivyo hivyo likiwa dogo kwao na kwetu tutaona ni janga dogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Grippe huwa inawaondoa wazee wengi. Wenzetu wanapenda kuishi na kulinda Wale wanaowazunguka. Wazee wako hatarini sana kwa uwepo wa coranvirus. Watu wanataka majibu ni Nini. Kinaambukizaje na Basi kama Kuna chanjo. Watu waliokuwa na kila kitu kasoro furaha za moyoni wanapenda kujua Sio kuhangaika tu. Ukipata Grippe 🤧 unakaa ndani Karibu siku tano to saba. Haina dawa Ina vitulizo. ulikuwa umefukiwa na kifusi au??Corona ndiyo nini tena wanaJF? can someone brief me about Corona?
Gambe ndio mpango mzima, kagonjwa kama haka utakasikia redioni tu
Sent using Jamii Forums mobile app

Kula bia mkuu tujenge nchi
Hahaaaa mbona naandika nikiwa Nyangokolwa...
Hata mimi nashangaa sana. Hivi toilet papers au hand papers zina ulazima gani wakati wa shida? Kwangu mimi hivi ni vitu ambayyo haviko kwenye list ya umuhimu kabisa. Na pia bidhaa nyingine wanayonunua kwa panic ni maji ya kunywa.Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.
Asilimia kubwa ya wanaopata hayo mafua ya Corona wanapona.
Pia, unaweza kuwa na hayo mafua na wala usijue na yenyewe yakaisha hivyo hivyo.
Panic iliyopo haiendani kabisa na athari zake.
Hata mimi nashangaa sana. Hivi toilet papers au hand papers zina ulazima gani wakati wa shida? Kwangu mimi hivi ni vitu ambayyo haviko kwenye list ya umuhimu kabisa. Na pia bidhaa nyingine wanayonunua kwa panic ni maji ya kunywa.
OverratedHili gonjwa hata silielewi, sijiui liko overrated au underrated?
naona wazungu wana exaggerate mambo sana,
corona asilimia kubwa ya wagonjwa wanapona na unaweza kupata iyo corona kimya kimya alafu usijue life likaendelea, vifo ni vichache kuliko wanao recover.. kwa facts hizi sioni tishio kubwa la huyu kirusi (corona)
sielewi uko ulaya wanadatika na nini haswa kwa hili gonjwa