Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Anafananisha na ile PhD ya maganda ya koroshoUnajua huyu ni Prof wa nini?
Ewe kilaza huyu sio level yako.
Anafananisha na ile PhD ya maganda ya koroshoUnajua huyu ni Prof wa nini?
Ewe kilaza huyu sio level yako.
Kwa hiyo Wizara ndio Bodi ya Chuo?naunga nkono sio tu kusimsimishwa afukuzwe uamuzi aliochukua ni mzito ulitakiwa uhusishe bodi ya chuo na wamiliki wa chuo ambao ni serikali
kuamua tu kufunga chuo bila wamiliki kushirikishwa sio sahihi kile chuo sio mali yake binafsi kina wenyewe
Profesa Bisanda ameitendea haki taaluma yake. Amefanya Jambo jema mno!Shut up MATAGA!! Watu wanapukutika kama nzige halafu wewe unaleta lugha za hovyo kama hizi? Huyu prof ni wa kuungwa mkono na wote wenye akili wanaoitakia mema Tanzania na sote tunapaswa kumuunga mkono na kumtetea! Halafu kesho baba yenu utasikia kamtumbua kwa sababu za ujinga. Huyu ni Prof wa ukweli na anaongelea sayansi sahihi ya kujikinga na Korona.
Besides, wanafunzi wa OUT husoma wakiwa nje, wengi huja kwa consultation na kuingia library, ndiyo maana ya Open University, hivyo going virtual is the way! Lakini pia wanafunzi wengi wanaosema nje kwa mfano China wamerudi nyumbani pale Korona ilipo pamba moto, lakini kila siku wanasoma virtually, masomo yako interactive live mwanafunzi anaweza kuwasiliana na mwalimu, mitihani kila leo, na ukifeli lazima kurudia! Sasa watanzani mmelishwa matango pori na huyo baba yenu, eti kaomba Korona ikakimbia! Shame!! Yeye kakimbilia kwao kujificha na kujifukiza, nyie mmebaki humu mnapinga matarumbeta ya ujinga! Mnaudhi sana mjue! Where is you brain??
You are a shameless creature!Mwambieni huyu Prof aingie maabara afanye utafiti ili kupata dawa ya korona. Siyo kubwatubwatuka tu.
Tatizo tunaisha mkuuUnamkumbuka yule mbunge wa Kigamboni Ndungulile?
Sana sana Profesa akiondolewa hapo atapelekwa sehemu nyingine, pengine yenye hadhi zaidi ya huo umakamu.
Usione hivi, hata dikteta anaujua ukweli, pamoja na kujifanya yeye ndiye mwenye ukweli pekee.
Muda si mrefu, kama hali hii iliyopo itaendelea kuwa mbaya kama inavyoelekea, utaanza kusikia sauti tofauti kabisa na zile ulizosikia huko nyuma.
Vuta subira kidogo utaona vitendo na kusikia sauti hizo tofauti sana na hizi tulizozoea.
Tafadhli weka waraka wa UDSM na SUAWaraka wa kwanza ni TEC,
Waraka wa pili ni wa wasomi UDSM, OUT na SUA
Waraka wa 3?
Pitia humu utazionaTafadhli weka waraka wa UDSM na SUA
Ombwe limeanzia juu ofisi kuu mkuu. Unadhani wao hawajui hali halisi ilivyo?I was not referring to the president
Wakuu wa idara na wa wizara need to manage communication protocols
Tangazo la prof ni zuri Sana na hakuna Chembur ya negativity... Ila la aliyemjibu linaivunjavunja image ya wizara in terms of protocols kwani tusingeshtuka Kwamba Wana ombwe
Asante prof.kuokoa watoto wetu.Eti wameia phenemonia.Wenye akili kazi kwetu.tuelemisheni familia zetu.Mvalishe mtoto wako ba.......a anapokwenda shule.Akirudi,kabla hajaingia ndani anawe mikono.Proffressor gani uchwara huyo asiyejua chain of command? kuamua kufunga chuo haliko ndani ya mandate yake sio mali yake binafsi hiyo
Wewe uko level gani,Nakuona kabisa kule chekechea kadesk kadogooooooProffressor gani uchwara huyo asiyejua chain of command? kuamua kufunga chuo haliko ndani ya mandate yake sio mali yake binafsi hiyo
Sio corona.Inaitwa nimonia au kushindwa kupumua.Usiite Corona kwa sauti kubwa.Iite nimonia ili tupone.Corona ipo Akili za kuambiwa changanya na zako mm ukikaa mbele yangu alafu uniambie kolona hakuna nakupasua na panga au jiwe sitaki upumbavu. KOLONA ipoooooooooooo na inaua kwa kasi sana.