Jaribu kuingia kwenye website ya wizara ya afya search unaweza kukuta la ziada maana bado hawajafafanua vizuri bado.
Naomba kujua mahala/vituo inapotolewa chanjo ya CORONA hapa Dar Es Salaam, na taratibu zake.
Mtatangaziwa soon, subirini
Usambazaji wa chanjo kwenye vituo si jambo rahisi mkuu, challenge kubwa ni utunzaji wake (below zero temperature), hata nchi zilizoendelea hii kitu inawasumbua sana, Hope our government wamejipanga kwa hilo, 1 million vaccines is no jokeSoon is not good enough
Usambazaji wa chanjo kwenye vituo si jambo rahisi mkuu, challenge kubwa ni utunzaji wake (below zero temperature), hata nchi zilizoendelea hii kitu inawasumbua sana, Hope our government wamejipanga kwa hilo, 1 million vaccines is no joke
Nasaha za MAGUFULI bado zipo vichwani mwa watanzania aliwafumbua vichwa kwelikweli