#COVID19 Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

Paschal. Huyu binti ni Shoka kweli kweli. Nadhani hata Mume wake kwa Kuona Uthabiti wa Honey wake hata kuosha Vyombo nyumbani na Kuogesha watoto wakati mama Akiwa anatutumikia watanzania. Hasione haibu maana mama kamtoa kimaso maso
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.

Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.

Lakini kupitia janga hili la Corona, kuna mambo ya chini kwa chini, mambo ya ndani kwa ndani yametokea ambayo yametokea na hayajatajwa mpaka sasa ila tumetangaziwa tuu matokeo,
  1. KM ambaye ni MD ameng'olewa, na kuhamishwa!, unajua why?!
  2. Chief Medical Officer ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
  3. Mkurugenzi Mkuu wa Central Medical Laboratory ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
  4. Mkurugenzi Mkuu wa MSD ambaye ni MD, ameng'olewa!, ameletwa mjeshi!, unajua why?.
  5. Naibu Waziri ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?.
Matokeo haya ni indications ya kulikuwa na mambo ya chini kwa chini, ndani kwa ndani ambayo sisi huku kwenye public hatuyajui bali tumeona tuu matokeo ya watu kupanguliwa!, hawa wanaopanguliwa ni madakitari na wataalamu wabobezi!, ila matokeo haya yanamfanya, kwenye janga hili la Corona, Ummy Mwalimu ambaye sio MD, amezungukwa na ma MDs 5, ambao wote wameng'olewa, kumemfanya huyu Ummy Mwalimu to stand as the odd man out!. Huu ni uthibitisho Ummy Mwalimu is very Special!. Swali la kujiuliza ni what is so special about her?. Ni uwezo wa kiutendaji kwenye ability au ni ule uwezo wa kutoka Tanga?. Andamana nami....

To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu

Na baada ya kumsikia rais Magufuli akimsifu, Ummy Mwalimu, sasa msikilize Mhe. Ummy Mwalimu mwenyewe akizungumza,

Naamini baada ya kusikiliza, utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka kweli kweli.

Sasa katika ulingo wa siasa za Tanzania, kwa muda mrefu tumekuwa tuki undermines "strength of a woman" kwenye politics kuwa Tanzania, ukimuondoa Makamo wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan, hatuna mwanamke presidential material kama nilivyo uliza hapa..
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums

Jee sasa kupitia mtihani huu wa Corona, jee Mhe. Ummy Mwalimu, amepasi mtihani? Jee anaweza?, ni uwezo wa hata kuwa presidential material?, au haya ni mambo ya Tanga?!. Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!.

Jee mnaonaje, should we put her to a test kwanza kwa kumjaribu ampokee Majaliwa kwenye u PM, na Majaliwa ampokee Magufuli?, akiweza, then apande kule juu kileleni?.

NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?, anaweza?, atafiti?, au haya ya Corona ni mazingaumbwe tuu ya Tanga?.

Ombi: Katika kujadili hili, please tusilete stereotypes kwenye issue hii!.

Paskali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poti bana......
 
Waziri hajafanya lolote lile, Wameachia watu wafe bila sababu. Magufuli ni denier wa ugonjwa na Ummy anaendelea kufuata maagizo yake. Naibu waziri amefukuzwa baada ya kuongea ukweli kuwa "KUJIFUKIZA HAKUSAIDI BALI NI HATARI KWA AFYA" wakati Magufuli anaaminisha watu kuwa kujifukiza ndiyo TIBA kitu ambacho siyo kweli. Ummy hana msimamo ameachia wagonjwa wafe hivyo hafai kabisa kwa nafasi yoyote hata ya UDIWANI
Acha uongo wewe kujifukiza ndiyo ilikuwa tiba yetu kule kijijini enzi za mwalimu, Ndugulile kazaliwa ocean load atajulia wapi nyungu. Kwa taarifa yako kuanzia 1974 mpaka 1984 Tanzania hapakuwa mahali salam kuishi lakini watanzania wa wakati ule walienda na nyimbo za Mwalimu Nyerere, tulikubali umaskini ni wetu na nchi ni yetu na rais ni wetu.Tulipambana na majanga makubwa mawili;
Kwanza Viata vya NDULI AMINI, Pili njaa. Dawa mahospitalini hazikuwepo, malaria, kifua yote yalitibiwa kwa njia ya kujifukiza.

Acheni kudanganya watu enzi hizo maduka yalikuwa ya kijiji hapakuwa na atelnative shops, tulipanga foleni kupata mahitaji, duka lilikuwa na bidhaa tatu tu, sabuni sukari na chumvi. Leo mna kila kitu halafu mnabeza kujifukiza, UJINGA MTUPU
 
Kaka Pascal uliwahi kuandika hapa ukimsifia Naibu Waziri mh Ndungulile kuwa Ni mtu ambaye ni proffesional kwenye afya na msaada wake Ni mkubwa. Na anachokifanya na kusema au kushauri hasa ktk kipindi hiki Cha kupambana na janga la corona Ni muhimu na unatumia uwezo na ujuz wake ipasavyo kuliko Waziri mwenyewe Mwenye dhamana ambae Sio mtaalamu was afya

Leo baada ya Mh Rais kumsifia na kumpongeza Mheshimiwa Ummy mwalimu, mtazamo wako umehama na kukubaliana na Rais kwamba Ummy mwalimu Ni jembe katika nafasi aliyopo hasa kipindi hiki kuliko wenye taaluma ya udaktari.

Kupitia post yako hiyo hapo juu Ni kwamba hauna unachoamini na kusimama katika Lile unaloliamini. Msimamo na analysis yako Ni guidings za matamko ya wanasiasa ambayo yanaweza kuharibu hata taaluma yako ya uandishi wa habari

Ushauri: Simamia unachokiamini Kama mwandishi wa habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.

Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.

Lakini kupitia janga hili la Corona, kuna mambo ya chini kwa chini, mambo ya ndani kwa ndani yametokea ambayo yametokea na hayajatajwa mpaka sasa ila tumetangaziwa tuu matokeo,
  1. KM ambaye ni MD ameng'olewa, na kuhamishwa!, unajua why?!
  2. Chief Medical Officer ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
  3. Mkurugenzi Mkuu wa Central Medical Laboratory ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
  4. Mkurugenzi Mkuu wa MSD ambaye ni MD, ameng'olewa!, ameletwa mjeshi!, unajua why?.
  5. Naibu Waziri ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?.
Matokeo haya ni indications ya kulikuwa na mambo ya chini kwa chini, ndani kwa ndani ambayo sisi huku kwenye public hatuyajui bali tumeona tuu matokeo ya watu kupanguliwa!, hawa wanaopanguliwa ni madakitari na wataalamu wabobezi!, ila matokeo haya yanamfanya, kwenye janga hili la Corona, Ummy Mwalimu ambaye sio MD, amezungukwa na ma MDs 5, ambao wote wameng'olewa, kumemfanya huyu Ummy Mwalimu to stand as the odd man out!. Huu ni uthibitisho Ummy Mwalimu is very Special!. Swali la kujiuliza ni what is so special about her?. Ni uwezo wa kiutendaji kwenye ability au ni ule uwezo wa kutoka Tanga?. Andamana nami....

To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu

Na baada ya kumsikia rais Magufuli akimsifu, Ummy Mwalimu, sasa msikilize Mhe. Ummy Mwalimu mwenyewe akizungumza,

Naamini baada ya kusikiliza, utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka kweli kweli.

Sasa katika ulingo wa siasa za Tanzania, kwa muda mrefu tumekuwa tuki undermines "strength of a woman" kwenye politics kuwa Tanzania, ukimuondoa Makamo wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan, hatuna mwanamke presidential material kama nilivyo uliza hapa..
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums

Jee sasa kupitia mtihani huu wa Corona, jee Mhe. Ummy Mwalimu, amepasi mtihani? Jee anaweza?, ni uwezo wa hata kuwa presidential material?, au haya ni mambo ya Tanga?!. Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!.

Jee mnaonaje, should we put her to a test kwanza kwa kumjaribu ampokee Majaliwa kwenye u PM, na Majaliwa ampokee Magufuli?, akiweza, then apande kule juu kileleni?.

NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?, anaweza?, atafiti?, au haya ya Corona ni mazingaumbwe tuu ya Tanga?.

Ombi: Katika kujadili hili, please tusilete stereotypes kwenye issue hii!.

Paskali

Mshenzi mkubwa wee. Hopefully huna watoto wa kike.
 
"Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!".
Msingi wa hoja yako upo hapo juu kwenye hayo maandishi. Hayo mengine umeyaandika kwa ajili ya "misukule" inayopenda kula pumba badala ya mchele.
 
Kuna siku watu watasema umemtabiria Ummy..
Sitashangaa akiukwaa Upm siku moja..
Sio utabiri ni kusoma trending tu..

Baada ya majaliwa Ummy na Jaffo wana nafasi kubwa
 
Mkeo amepona nini Mkuu??
Umejuaje kuwa amepona??
Kuungana kusifu sawa lakini fahamu kuwa kuna haja ya kuimarisha huduma za afya zaidi ya kutegemea nyungu na miujiza...!!
Kwa nini tunafungua vyuo ili vijana wakasome kama tunapinga taaluma zao...??
Hili gonjwa litusaidie kubadilika na kueshimu taaluma za watu!!!
Scientific problems call for scientific solutions..!!

Nje ya hapa ni ushirikina tu
 
Kama nchi tumepatwa na tumepatikana...!!
Daah kazi wachape watoa huduma za afya...
Sifa kemkem apewe mchonga maneno Ummy...!!!
Alafu PASKALI; najua kabisa yule mtoa sifa hapangiwagi...
Lakini hivi kweli hakuona mchango wa ile kamati ya kitaifa chini ya waziri mkuu...??
Nisije tafsiriwa vibaya.... Hivi PASKALI ni kuwa wagonjwa wamepungua au watu wamekacha kwenda hospitali?
Na je, kupungua kwa wagonjwa bila kujua hali halisi ya maambukizi huku madongokwinama ni conclusion muafaka kuwa Covid-19 nayo imepungua...??
Hivi PASKALI mbona mnapenda sana petty politics hadi kwenye uhai wa wananchi...??
Scientific problems call for scientific solutions...!!
Mkuu jaribu kuelewa mada za Pascal Mayalla . Zinakuwa zinachokoza ili kufungua watu akili. Kwa kifupi ni kuwa Magufuli hakutaka approach ya kitaalam kwenye hili swala. Infact mambo yake mengi huwa anapenda kuyafanya ki-ukichaa kichaa jinsi kichwa chake kinavyodhani ni sawa. Sasa akikutaka na watu wataalam haiwezi kuiviana nao. Anapenda wale wenye ubongo mgando wa kuitikia ''hewala bwana'' na kutekeleza. Hushangai ni kwanini teuzi zake zote zinalenga kwa watu wenye ubongo usiofikiri? Prof Asad alikuwa kichwa sana sana lakini akaondolewa. Makonda ni kilaza wa kutupwa lakini anasifiwa. Basi hivyo hivyo kwenye hili kwenye thread limebeba kaliba ya Magufuli.
 
Mkuu kosa langu liko wapi sasa?
Na mi si nimefunguka akili nikachangia kiakili akili au ulitaka nimsapoti tu huyu Pascal Mayalla bila kuhoji vitu vya msingi vya kuendeleza mada...??
 
Back
Top Bottom