Kuhusu Covid19, JPM amewatumbukiza Watanzania kwenye Kanuni ya "Survival for the Fittest". Ukwel ni kwamba Mimi na wewe hatuna uhakika wa Ku- Survive kwenye Kanuni hii.Kama nchi tumepatwa na tumepatikana...!!
Daah kazi wachape watoa huduma za afya...
Sifa kemkem apewe mchonga maneno Ummy...!!!
Alafu PASKALI; najua kabisa yule mtoa sifa hapangiwagi...
Lakini hivi kweli hakuona mchango wa ile kamati ya kitaifa chini ya waziri mkuu...??
Nisije tafsiriwa vibaya.... Hivi PASKALI ni kuwa wagonjwa wamepungua au watu wamekacha kwenda hospitali?
Na je, kupungua kwa wagonjwa bila kujua hali halisi ya maambukizi huku madongokwinama ni conclusion muafaka kuwa Covid-19 nayo imepungua...??
Hivi PASKALI mbona mnapenda sana petty politics hadi kwenye uhai wa wananchi...??
Scientific problems call for scientific solutions...!!
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.
Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.
Lakini kupitia janga hili la Corona, kuna mambo ya chini kwa chini, mambo ya ndani kwa ndani yametokea ambayo yametokea na hayajatajwa mpaka sasa ila tumetangaziwa tuu matokeo,
Matokeo haya ni indications ya kulikuwa na mambo ya chini kwa chini, ndani kwa ndani ambayo sisi huku kwenye public hatuyajui bali tumeona tuu matokeo ya watu kupanguliwa!, hawa wanaopanguliwa ni madakitari na wataalamu wabobezi!, ila matokeo haya yanamfanya, kwenye janga hili la Corona, Ummy Mwalimu ambaye sio MD, amezungukwa na ma MDs 5, ambao wote wameng'olewa, kumemfanya huyu Ummy Mwalimu to stand as the odd man out!. Huu ni uthibitisho Ummy Mwalimu is very Special!. Swali la kujiuliza ni what is so special about her?. Ni uwezo wa kiutendaji kwenye ability au ni ule uwezo wa kutoka Tanga?. Andamana nami....
- KM ambaye ni MD ameng'olewa, na kuhamishwa!, unajua why?!
- Chief Medical Officer ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
- Mkurugenzi Mkuu wa Central Medical Laboratory ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
- Mkurugenzi Mkuu wa MSD ambaye ni MD, ameng'olewa!, ameletwa mjeshi!, unajua why?.
- Naibu Waziri ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?.
To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu
Na baada ya kumsikia rais Magufuli akimsifu, Ummy Mwalimu, sasa msikilize Mhe. Ummy Mwalimu mwenyewe akizungumza,
Naamini baada ya kusikiliza, utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka kweli kweli.
Sasa katika ulingo wa siasa za Tanzania, kwa muda mrefu tumekuwa tuki undermines "strength of a woman" kwenye politics kuwa Tanzania, ukimuondoa Makamo wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan, hatuna mwanamke presidential material kama nilivyo uliza hapa..
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums
Jee sasa kupitia mtihani huu wa Corona, jee Mhe. Ummy Mwalimu, amepasi mtihani? Jee anaweza?, ni uwezo wa hata kuwa presidential material?, au haya ni mambo ya Tanga?!. Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!.
Jee mnaonaje, should we put her to a test kwanza kwa kumjaribu ampokee Majaliwa kwenye u PM, na Majaliwa ampokee Magufuli?, akiweza, then apande kule juu kileleni?.
NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?, anaweza?, atafiti?, au haya ya Corona ni mazingaumbwe tuu ya Tanga?.
Ombi: Katika kujadili hili, please tusilete stereotypes kwenye issue hii!.
Paskali
Huyu Pascal Nadhani Hajitambui, Maana logically Hauwezi Kumsifia Waziri ( Politician) ukawaacha Wasaidizi wake ambao Kimsingi ni Professional. Ukweli ni Kwamba Pascal na Anaowasifia wote Wamelichukulia Janga la Corona Kisiasa na wanafurahi Majibu Mepesi yanapotolewa bila takwimu. Watu wamezikimbia Hospital full stop...Kama nchi tumepatwa na tumepatikana...!!
Daah kazi wachape watoa huduma za afya...
Sifa kemkem apewe mchonga maneno Ummy...!!!
Alafu PASKALI; najua kabisa yule mtoa sifa hapangiwagi...
Lakini hivi kweli hakuona mchango wa ile kamati ya kitaifa chini ya waziri mkuu...??
Nisije tafsiriwa vibaya.... Hivi PASKALI ni kuwa wagonjwa wamepungua au watu wamekacha kwenda hospitali?
Na je, kupungua kwa wagonjwa bila kujua hali halisi ya maambukizi huku madongokwinama ni conclusion muafaka kuwa Covid-19 nayo imepungua...??
Hivi PASKALI mbona mnapenda sana petty politics hadi kwenye uhai wa wananchi...??
Scientific problems call for scientific solutions...!!
Wanabodi,
Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona.
Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo nilidhani kaupata uwaziri kwasababu zile!.
Lakini kupitia janga hili la Corona, kuna mambo ya chini kwa chini, mambo ya ndani kwa ndani yametokea ambayo yametokea na hayajatajwa mpaka sasa ila tumetangaziwa tuu matokeo,
Matokeo haya ni indications ya kulikuwa na mambo ya chini kwa chini, ndani kwa ndani ambayo sisi huku kwenye public hatuyajui bali tumeona tuu matokeo ya watu kupanguliwa!, hawa wanaopanguliwa ni madakitari na wataalamu wabobezi!, ila matokeo haya yanamfanya, kwenye janga hili la Corona, Ummy Mwalimu ambaye sio MD, amezungukwa na ma MDs 5, ambao wote wameng'olewa, kumemfanya huyu Ummy Mwalimu to stand as the odd man out!. Huu ni uthibitisho Ummy Mwalimu is very Special!. Swali la kujiuliza ni what is so special about her?. Ni uwezo wa kiutendaji kwenye ability au ni ule uwezo wa kutoka Tanga?. Andamana nami....
- KM ambaye ni MD ameng'olewa, na kuhamishwa!, unajua why?!
- Chief Medical Officer ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
- Mkurugenzi Mkuu wa Central Medical Laboratory ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?!.
- Mkurugenzi Mkuu wa MSD ambaye ni MD, ameng'olewa!, ameletwa mjeshi!, unajua why?.
- Naibu Waziri ambaye ni MD, ameng'olewa!, unajua why?.
To start with, msikilize rais Magufuli akimzungumzia Waziri Ummy Mwalimu ambapo pia amedokeza sababu za kumtumbua mtu
Na baada ya kumsikia rais Magufuli akimsifu, Ummy Mwalimu, sasa msikilize Mhe. Ummy Mwalimu mwenyewe akizungumza,
Naamini baada ya kusikiliza, utakubaliana na mimi, huyu ni mwanamke wa shoka kweli kweli.
Sasa katika ulingo wa siasa za Tanzania, kwa muda mrefu tumekuwa tuki undermines "strength of a woman" kwenye politics kuwa Tanzania, ukimuondoa Makamo wa rais, Mama Samia Suluhu Hassan, hatuna mwanamke presidential material kama nilivyo uliza hapa..
Siku ya Wanawake Duniani: Je, Tuna Wanawake Wenye Sifa za Presidential Material?! - JamiiForums
Jee sasa kupitia mtihani huu wa Corona, jee Mhe. Ummy Mwalimu, amepasi mtihani? Jee anaweza?, ni uwezo wa hata kuwa presidential material?, au haya ni mambo ya Tanga?!. Hivi kweli inawezekana vipi madaktari Bingwa hao wote watano waliomzunguka, wameng'olewa, na yeye ambaye wala sio daktari ndio kaibuka shujaa wa Corona?!. Ni utendaji uliotukuka, professionalism, or pia kuna Tangaism?!.
Jee mnaonaje, should we put her to a test kwanza kwa kumjaribu ampokee Majaliwa kwenye u PM, na Majaliwa ampokee Magufuli?, akiweza, then apande kule juu kileleni?.
NB, sijasema lini, nimeuliza tuu mnaonaje?. Huyu atafaa hadi kuja kuwa mwanamke wa kwanza kukalia ile drivers seat?, anaweza?, atafiti?, au haya ya Corona ni mazingaumbwe tuu ya Tanga?.
Ombi: Katika kujadili hili, please tusilete stereotypes kwenye issue hii!.
Paskali
Nimekupata mkuu, utawala huu ukitaka upate sifa mbele ya Magufuri weka taaluma yako pembeni, jitoe ufahamu na kila unapozungumza basi mwisho wa sentensi yako lazima umtaje Magufuri tena kwa kumsifia .Wanabodi,

Mkuu soma tena huu uzi kuna ujumbe mwingine utaupata tofaut na ulivyowazaKama nchi tumepatwa na tumepatikana...!!

Struggle for existence and survival of the fittest!!Kuhusu Covid19, JPM amewatumbukiza Watanzania kwenye Kanuni ya "Survival for the Fittest". Ukwel ni kwamba Mimi na wewe hatuna uhakika wa Ku- Survive kwenye Kanuni hii.
Tumejuaje kuwa hiyo hali mbaya imebadilika???Paskali nilichogundua hapo kwenye uzi wako ni wataalam wa afya karibia wote wameliwa vichwa, pili kuna kipindi hali ilikuwa mbaya hadi kufikiria viwanja vya sabasaba kugeuzwa hospitali kwa muda.
Tutafika tu
Hicho kipengele cha "NITSEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO" CCM walishakiondoa hicho kipengere.HATA KUKATA VIUNO KITANDANI USIKU KUCHA NAO NI USHUJAA.
KUWA MNAFIKI NA KUSEMA UONGO HADHARANI NAO NI USHUJAA.
KUNA USHUJAA WA AINA NYINGI...
UMMY HANA SIFA YA KUWA HATA DIWANI KWA MUJIBU WA KATIBA YETU YA CCM..
KUNA KIPENGELE CHA "nitasema kweli daima, uongo kwangu mwiko".
Sent using Jamii Forums mobile app