Corona ipo, Rwanda waripoti kifo cha pili

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,857
35,868
Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari!

Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa.

Inasikitisha.

Akapumzike kwa amani.

IMG_20200604_043009_104.jpg

IMG_20200604_043348_749.jpg
 
Angekufa msela mwenye sura ngumu ka mimi ungepost?

Wasiwasi wako tu. Nina post sana kuhusu Corona.

Kitu cha kuona hapa tusijidanganye kuwa hili ni la wazee.

Soma usiishie kuangalia picha na kudhani kuna wagumu na walaini.
 
Masikini mtoto mbichi kabisa, hakuna hata wadogo zake, mabinti tuwachangie fedha za rambi rambi?
 
Masikini mtoto mbichi kabisa.hakuna hata wadogo zake,mabinti tuwachangie fedha za rambi rambi?

Nadhani mchango wa maana zaidi ilikuwa ni kuunga mkono juhudi vita dhidi ya Corona badala ya kudhani kuwa, kama vijana huu ugonjwa hautuhusu.

Pia kudhani kuwa wanaokufa ni magonjwa mengine na kuidunisha Corona.

Vinginevyo mchango wako unaweza usiwe na maana sana mkuu.
 
Huko kwao ndio ipo huku bongo hakuna

Sir God keshafanya yake Tz

Ummy anasema ipo, na ipo ipo sana tu. Mzee baba anasema ipo, na ipo ipo sana tu.

Wewe unadhani mashindano ya nani anayo na nani hana? Na hata umesoma kuelewa mwathirika katokea wapi?

Ama kweli akili ni nywele.
 
Nadhani mchango wa maana zaidi ilikuwa ni kuunga mkono juhudi vita dhidi ya Corona badala ya kudhani kuwa, kama vijana huu ugonjwa hautuhusu.

Pia kudhani kuwa wanaokufa ni magonjwa mengine na kuidunisha Corona.

Vinginevyo mchango wako unaweza usiwe na maana sana mkuu.
Kwani ni vijana gani walokuambia uwasemee hapa kwamba ugonjwa huo hauwahusu? upuuzi mtupu.
 
Wasiwasi wako tu. Nina post sana kuhusu Corona.

Kitu cha kuona hapa tusijidanganye kuwa hili ni la wazee.

Soma usiishie kuangalia picha na kudhani kuna wagumu na walaini.
Yaani umeona hilo ni tukio kubwa la kifo cha mtu mmoja hao waliokufa na bodaboda mbona ni wengi kuliko huyo mrembo mmoja kwenye kundi la watu milioni kadhaa? shida ya corona mnaipromoti sana kama vile kabla ya korona hapakuwa na kifo.
 
Nadhani mchango wa maana zaidi ilikuwa ni kuunga mkono juhudi vita dhidi ya Corona badala ya kudhani kuwa, kama vijana huu ugonjwa hautuhusu.

Pia kudhani kuwa wanaokufa ni magonjwa mengine na kuidunisha Corona.

Vinginevyo mchango wako unaweza usiwe na maana sana mkuu.
Sawa msemaji wa familia.
Ila marehemu ni kisu asee,dah,,R.I.P binti Kagame.
 
Ummy anasema ipo na ipo ipo sana, jiwe anasema ipo na ipo ipo sana.

Wewe unadhani mashindano ya nani anayo na nani hana? Na hata umesoma kuelewa mwathirika natokea wapi?

Ama kweli akili ni nywele.
Kama akili ni nywele maprofesa wengi wasingekuwa na vipara bila kuwasahau madokta ,
"Ila pia aliwazalo mjinga ndio limtokealo"
 
Back
Top Bottom