But seriously Rwanda wanadanganya takwimu tuseme tu kweli
Jr![]()
Nitaamini ipo hadi wewe uipate brazaj
Bado kuna watu wanataka niweke takwimu zangu.... Nimeshindwa hata kuwajibuMkuu hapo umegonga penyewe. Ukweli mchungu kuhusu Corona ni huu hapa:
View attachment 1468199
Ukikuta nchi yoyote ina takwimu zinazoanguka nje ya humo ujue hizo ni matokeo ya kuwa na miundo mbinu dhaifu ya upimaji au takwimu magumashi.
Waongo ni wengi sana mkuu wakiwamo Uganda, China nk.
Wengi wengine wako huku:
List of African Countries Amazingly Winning the Fight Against Coronavirus
Kibongo bongo wanaita raha jipe mwenyewe. Kazi kweli kweli.

Ameiptia nje kaja kufariki ndani ya nchi yake. Asante mkuu
Bado kuna watu wanataka niweke takwimu zangu.... Nimeshindwa hata kuwajibu
Jr![]()
Kila kifo ni corona, huu ni ujinga mwingine
Kwamba toka ugonjwa uingie March hiki ndo kifo cha pili?
Hii nguvu ingetumika hata kwa mapambano ya magonjwa mengine tungekuwa mbali.
Malaria, vifo vya mama na mtoto etc
Ugonjwa huu wana ukuza Malaria kila siku watu wanakufa,lkn usiku watu bado wanapiga mishe zao kama kawa.Mkuu nakuelewa.
Wapo wengine kwenye mambo nyeti kama haya utayasikia: "ramli." Unajiuliza wanaijua hiyo sayansi kuliko yule mwamba: Mshana Jr?
Anasema Yesu Kristo: "uwasamehe kwa maana hawalijui walitendalo."
SASA boss Kama toka imeanza mpaka leo Rwanda ndio kwanza imeua watu wawil embu jaribu kufatilia takwim za maleria Rwanda toka Corona ilipo Anza alafu upime ukipata majibu itabidi ujue kua zilikua Kiki tu
Tangu Corona imeingia ndugu zako wangap wamekufa na Corona??...Wasiwasi wako tu. Nina post sana kuhusu Corona.
Kitu cha kuona hapa tusijidanganye kuwa hili ni la wazee.
Soma usiishie kuangalia picha na kudhani kuna wagumu na walaini.
Tangu Corona imeingia ndugu zako wangap wamekufa na Corona??...
Au unaleta tu taharuki usiyojua madhara yake
Bado kuna watu wanataka niweke takwimu zangu.... Nimeshindwa hata kuwajibu
Jr![]()