- Thread starter
- #21
Kama akili ni nywele maprofesa wengi wasingekuwa na vipara bila kuwasahau madokta ,
"Ila pia aliwazalo mjinga ndio limtokealo"
Ahahahahah.
Elewa kwanza maana ya "akili ni nywele". Kabla ya hapo kujadili lolote itakuwa haina tija.
