- Thread starter
- #61
Weka takwimu mezani wacha kua bendera fuata upepo.
Hizo ni nyara za serikali. Wewe hujui hivyo? Wewe unaulizia pembe za ndovu?
Weka takwimu mezani wacha kua bendera fuata upepo.
But seriously Rwanda wanadanganya takwimu tuseme tu kweli
Jr![]()
Hizo ni nyara za serikali. Wewe hujui hivyo? Wewe unaulizia pembe za ndovu?
Weka takwimu mezani wacha kua bendera fuata upepo.
Hapo ulielewaje?
Corona inaua wazungu na wapinzani tu.
Acha uzushi wewe MATAGANkurunziza alikuwa mzungu au mpinzani?
Wale wabunge wetu nao je? Wale ma DC ma OCD, ma OCS, nk. Walikuwa upande upi? Wapinzani au wazungu?
Mkuu acha tumwomboleze ndugu yetu Nkurunziza. Kumbuka ni sisi tuliomrejesha madarakani alipopigishwa kalinye kalinye na waasi.
Hali kadhalika katikati ya ugonjwa wa Corona alikuwa na sera kama zetu za kukataa kibongo bongo tu uwepo wa ugonjwa huu wala makali yake.
Kwa hakika msiba wao ni wetu. Tumwombee pia mkewe anayeendelea kupambana na huyu mwana kharam Corona asiyekuwa na huruma na roho za watu.
Acha uzushi wewe MATAGA
Jamaa hajafa kwa Corona
Bunge la Tanzania linajiandaa kumpongeza rais kwa kutokomeza corona na kuhakikisha uchumi wa nchi unazidi kustawi.Shhhhhhhhhh! Kelele tuna msiba we!
Jidanganye:
Hivi ni vile vifo vya ghafla ghafla ambavyo nguvu kubwa sana hapa kwetu imekuwa ikitumika kulazimisha kuwa havikusababishwa na Corona.
Ila ni wazi kuwa habari za mkewe kukutwa Corona, yeye mwenyewe kuwa na Corona na walinzi wake kuwa na Corona ndani ya wiki takribani mbili zilizopita hazikuwa ngeni.
Burundi first lady in Kenya for COVID-19 treatment
Ikumbukwe pia kuwa Nkurunziza alikuwa amekataa kuchukua hatua zozote thabiti kuhusiana na Corona akidai kuwa Mungu aliipenda sana Burundi kwa Corona kuwafikia.
Pia alikaidi miito yote kuahirisha shughuli za uchaguzi mkuu mwezi jana na mwezi huu ili kuidhibiti mikusanyiko ya watu. Pia alikaidi kusimamisha mikusanyiko ya makanisani na misikitini.
Maisha nchini kwake yaliachwa kuendelea kama yanavyoendelea hapa kwetu.
Yale yale ya wale wabunge wetu, wakuu wa wilaya, ma OCD na ma OCS yule bwana wa TABOA na wengi wengine. Vifo vya ghafla!
Tangulia kwa amani bwana Pierre kwa hakika umetuachia somo. Hadi litakapoeleweka si muda mrefu utakuwa mwenyeji wetu tu.
Nyuma yako mbele yetu. Twaja mkuu!
Bunge la Tanzania linajiandaa kumpongeza rais kwa kutokomeza corona na kuhakikisha uchumi wa nchi unazidi kustawi.
Vaa barakoa ukiwa una type. Nimeona Waziri mkuu akiwa na msafara wake wameenda kumtembelea Mbowe wakiwa na Barakoa za kutoshaShhhhhhhhhh! Kelele wewe tuna msiba.
Wewe hujui, yule mwana kharam asiyejua wakubwa kesha fanya yake:
Tetesi: - Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona
Vaa bakora ukiwa una type. Nimeona Waziri mkuu akiwa na msafara wake wameenda kumtembelea Mbowe wakiwa na Barakoa za kutosha
Slip of the hand ilitokea*Bakora* ndiyo nini? Tuko msibani!
RIPMabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari!
Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa.
Inasikitisha.
Akapumzike kwa amani.
View attachment 1468183
View attachment 1468184
Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari!
Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa.
Inasikitisha.
Akapumzike kwa amani.
View attachment 1468183
View attachment 1468184
Hivi huko kwa wenzetu mfano Marekani imewachukua watu maarufu wangapi?HII KITU AIISHI AMA KUPUNGUA MPAKA ILAMBE WAFUATAO
KAMA ULISOMA POST YANGU SIKUYA KWANZA WAMETANGAZA COVID
ILAMBE
WATU MAARUFU
WATU MASHURI
WATUMISHI WA BWANA KADHAA
WAHESHIMIWA KADHAA
HAPA HASA WABUNGE LAZIMA WAPUNGUE KIDOGO
AFTER NCHI UTASIKIA IKIMLILIA MUNGU SANAA
HAPO WANARUDI KWA BAADHI YA MASIKINI KADHAA NA KUPEPERUSHA NA BAADAE WANAFYKWA MATAJIRI KADHAA
WAKIFIKA HAPO UJUE INAANZA KUPUNGUA MKIWA NA MOYO MGUMU MNATANGAZA IMEISHA HATA KAMA WAPO.....
KINACHOENDELEA N KIFO CHAKIMYA KIMYA MNAZIKANA WENYE NGUVU MTASAVAIVU AKA
CDNNE
ALL THE BEST
HATAHILONALOLITAPITA
Hivi huko kwa wenzetu mfano Marekani imewachukua watu maarufu wangapi?
HII KITU AIISHI AMA KUPUNGUA MPAKA ILAMBE WAFUATAO