Wabadilishe na jina isiitwe jina lake, nilifikiri ili kumuenzi wangeacha wanyonge wajitembelee humo ndani bila mabarakoa
Corona Tz inayotangazwa kwenye Vyombo vya habari na mambo yalivyo mtaani ni kama K-vant na Pilau...
Corona ipo na inaendelea kuua
Hakuna mpumbavu wakuenzi huo ujinga ambao ye mwenyewe ulimponza Covid19 ikampigaWabadilishe na jina isiitwe jina lake, nilifikiri ili kumuenzi wangeacha wanyonge wajitembelee humo ndani bila mabarakoa
Mkuu ukweli mchungu ni kwamba wengi zaidi bado wanamuenzi, kama upo Tanzania jiulize maswali haya:Hakuna mpumbavu wakuenzi huo ujinga ambao ye mwenyewe ulimponza Covid19 ikampiga
Too late. Wasianze kutisha raiaKuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi Magufuli hakuingiliki tena.
Hata hivyo inashangaza kwa nini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria.
Kama ilivyo kwa barakoa, afya ya mtu ni wajibu wake mwenyewe. Hizi za kutwishana majukumu ya wengine ndiyo chanzo cha kupalilia jamii isiyokuwa na uwajibikaji kwenye mambo yake yenyewe.
Hatua zaidi kudhihibiti misongamano isiyo kuwa na tahadhari itapendeza zaidi.
Source: ITV Habari.
Huu ndio ukweli....Tanzania ina upuuzi wa kutosha kabisa.Too late. Wasianze kutisha raia
Safi sana. Taifa lazima lijali afya za watu wake. Nadhani hili liwe nchi nzimaKuanzia Jumatatu bila kuvaa barakoa stendi Magufuli hakuingiliki tena.
Hata hivyo inashangaza kwa nini kuwataka wenye mabasi kuwa na sanitizers kwa ajili ya abiria.
Kama ilivyo kwa barakoa, afya ya mtu ni wajibu wake mwenyewe. Hizi za kutwishana majukumu ya wengine ndiyo chanzo cha kupalilia jamii isiyokuwa na uwajibikaji kwenye mambo yake yenyewe.
Hatua zaidi kudhihibiti misongamano isiyo kuwa na tahadhari itapendeza zaidi.
Source: ITV Habari.
Wabadilishe na jina isiitwe jina lake, nilifikiri ili kumuenzi wangeacha wanyonge wajitembelee humo ndani bila mabarakoa
Pole pole tutafika tu.Safi sana. Taifa lazima lijali afya za watu wake. Nadhani hili liwe nchi nzima