Copy ya Samsung Note 4 usiyoweza kuitofautisha na original: Laki 3 tu

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Unazijua copy ambazo huwezi kuzitofautisha na Samsung Note 4? Ninayo moja mpyaaa, nyeupe, nzito na yenye Specs zilizoshiba, inaenda kwa Laki 3 tu. Call 0653257566
 
kama tcra wanatumia imei ku detrmine fake na og wamechemka coz wajanja wa mjini wanabadilisha imei tuu hapo kitu kinaendelea kufanya kazi. natumia imei za nokia jeneza nabadilisha kwenye clone tcra watajua ni nokia kumbe mzigo fake.
ni mawazo tuu kwasababu changing of IMEI ni kitu easy sana
 
Mi nna sony yangu ila nashangaa nimetuma tcra inonesha htc
 
Back
Top Bottom