umeona eeh. yaani wale wabibi na familia zao sijui niwaweke kwenye fungu gani. wewe bibi yangu ninavyompenda na kumuheshimu siwezi furahi nikimuona anazodolewa na kukatishwa kiuno kama mtoto mdogo.
Hili la sauti ndilo linaloboa zaidi. Hawa jamaa Clouds TV hawakujiandaa kabisa kuingia digitali. Audio system yao ni very poor, sijui kama hawajaliona hili. Kwani wao hawaangalii hii TV yao na kuona upungufu huo?
#Rangi mbaya #Picha zinakuwa nyembamba #69 recordz ni tamthilia mbaya sana sababu waigizaji hawana fani hio na wamewekwa kwa kujuana plus umaaruf #Graphics zao ni kichekesho #w /kend chat show ni recorded badala ya LIVE show
Hili la sauti ndilo linaloboa zaidi. Hawa jamaa Clouds TV hawakujiandaa kabisa kuingia digitali. Audio system yao ni very poor, sijui kama hawajaliona hili. Kwani wao hawaangalii hii TV yao na kuona upungufu huo?
tatizo wanataka cheep labour na wanaangalia mbwembwe na usharo uharo tu,myu mwenye skill zako za kweli huwezi kupata kazi clouds nakwambia cse kuanzia mkuu wa vipindi wote vilaza hawana elimu ya tasnia ya media wanafanya uzoefu
.
.
.
.
.
.
kwenye pia walikuwa na kipindi cha watoto kinaitwa klabu kumi na sijui kama bado kipo siku hiczi lakini nacho walikopy kutoka cartoon network, tena walikopy hadi jina wakatafsiri tu. kule kilikuwa kinaitwa teen's club