copy & paste ya Clouds TV

Hivi bado mnatazama Clouds TV? Mimi nlishaacha kitambo kutokana na upuuzi wao kama huo. Kuna wakati na wao eti walikuwa na E news. Sitaki tena kupoteza muda wangu kuangalia maujinga yao.
 
nadhani wamewasikia sasa kazi ni kwao kujipanga au kupumzisha kwa muda mpaka watakapokuwa tayari kushindana ktk ubora na wala sio kucopy
 
Wameiga ile e-news ya Dominic Nyalifa, wao anatangaza perfect Crispin na kadada kamoja huku background herufi 'e' inazunguka kama ileeee ya eatv #poorcloudsfmntv

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

Hivi bang sio jarida la emelda

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jina la Kipindi cha radio cha hekeheka wame-paste kutoka Citizen tv.
 
yaani bestito hata mm ikipindi hicho cha BIBI BOMBA kinaniudhi na kunikera sana kwani wanaondolea heshima yao mabibi zetu yaani hii tv ya cloud ingefungwa kabisa tena sana
kwa upande wa TV wakabidhi kijiti tu hakuna kitu kabisa pale. hakuna kipindi kinachonikera kama BIBI BOMBA.
 
Unategemea nini unapokuwa na Boss kama Luge Mutamahaba? hakupi Ajiram paka amekulamba tena nasikia hata wanaume lazima akuchimbe nnya (ref. MC Maarufu anaetangaza kipindi jmosi kuanzia saa 9 na j2 asb sana)
 
Clouds wanajitahidi sana kwenye radio lakini kwenye TV bado saaana ndokwanza wako chekechea
 
Ptuuuu..yani hawa nao mmh

umeona eeh. yaani wale wabibi na familia zao sijui niwaweke kwenye fungu gani. wewe bibi yangu ninavyompenda na kumuheshimu siwezi furahi nikimuona anazodolewa na kukatishwa kiuno kama mtoto mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…