copy & paste ya Clouds TV

Clouds tv kuifikia EATV ni safari ndefu.
Ukiangalia EATV ni kama unaangalia channel za mbele!!

tena ile ndio inaonekana dhahiri shahiri kuwa wamecopy,ubaya kipendi chao hakibambi kabisaa
 

hahaaa hii imenikumbusha huu wimbo wao walioimba kina mchovu na wenzake unaohusu fiesta,wameimba kama wamarekani yani hamna kitu ni ujinga tuu...sometimes ni vizuri kuwa real.
 

Kama kweli ni copyright za EATV kwa nini wasiende mahakamani?
 
Kama kweli ni copyright za EATV kwa nini wasiende mahakamani?

kwanza hakuna aliyezungumzia suala la copyright hapa,pili jaribu kusoma kuhusu copyright ukiielewa then uje uusome uzi huu then ucomment upya.
 
Cloudda Tv kuja kufikia mziki wa EATV ni baada ya miaka 50 hivi...Bado sanaaaaa........Wanaiga kila kitu mpaka wanaboaaa aisee..
 
kipindi cha evance bukuku cha nimekubamba wamekopi citizen tv ya kenya kwenye kaa rada
power breakfast ni copy ya ajabu!! Haya jicho la ng'ombe wamecopy citizen the bulls eye, cjui wamerogwa/? Mfyuuuuuuuu in manges voice!! Wanaboaje???
 
Na kile kipindi cha Afrika Bambaataa cha Clouds FM (sijui kama bado kipo) wameiga jina la kisanii la DJ mmoja Mmarekani ambaye jina lake halisi ni Kevin Donovan. Siku hizi za utandawazi si rahisi kuiga kitu kutoka nje na usijulikane.
 

Nimeacha kufuatilia habari za hawa wambea toka mwaka 2002....

So hapa naona maluwe luwe tu!
 
....tatizo WAHAMIAJI wamekuwa wakihamisha kutoka hizo tv zingine....
 
utapataje vipindi vilivyooenda shule wakti watu wa habari nchi hii div 4 na 0! Wenzetu watu wa habari ni specialists
Hebu fikiri swali aliloulizwa Obama na mwandishi wa kibongo!!! Parthetic
 
Penye Ukweli unasemwa, Redio na Tv nimekuja gundua ni vitu tofauti sana,
Kama ambavyo EA Radio wanavyohangaika kushika namba na bado wameachwa mbali sana ndivyo na Clauds TV hivyo hivyo Wanapata shida sana kuwakamata EATV. Ingawa katika general performance ya Entertainment Industry bado Clauds wapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…