COPY AND PASTE ya Blogs za kibongo

furahi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
945
195
Hivi wajameni mnalionaje hili la tukio kutokea basi blog zote zinacopy picha na habari nzima kutoka kwa aliyewahi kupata picha?
Mi binafsi inanichefua sana, kwa nini kila mmoja asijitafutie?
Hizi copy n paste zimezidi wabongo tuache uvivu kama umeamua kuwa blogger basi tumikia ulichoamua kukifanya... kama huwezi funga blog yako.. kwani lazima?
Hovyo kabisa!
 
Kila mtu kuwa na blog si ndo fashion siku hizi!halafu source ya info yenyewe hawana we unategemea nini?!!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kuiendesha blog tanzania ni rahis sana unacopy tu na kupaste basi.matukio ya mtaan unapokaa hayana ulazima. watz tunapenda mteremko sana
 
baya zaidi wanavyocopy hata hawahariri hio habari basi kama kuna kosa linazunguka kwenye blogs zote c mchezo..hilo mm nimeliona live!!tatizo blogs zimejaa uganga njaa kwa kupata vijitangazo basi mtu suala la habari anamsubiri michuzi akirusha na yy anacopy na kupaste tu michuzi akikosea spelling basi blogs zote watakosea hadi pc yaani ubunifu ni zerooo....kila sehemu ni majanga tuu..bongo tambararezzz!!
 
Back
Top Bottom