Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.

Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu.

Last week wafanyakazi wa SCOAN walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria.

Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.

Haujaeleza Ubaya wake, umefichaficha lakini unataka tumuone Mmbaya....funguka tuskie bhana!
Na kama kweli hana maadili na ana maringo basi hafai katika kazi za kiroho, kazi za kiroho zinahitaji UPENDO!!..na hao wanaomtetea kwa madai kuwa kwenye mambo ya imani hauhitaji "kubembelezwa" sioni jina zuri la kuwaita isipokuwa ni WAPUMBAVU!
 
Mkuu kuna comment nyingi hapa zinaonyesha mambo anayofanya,fuatilia uzisome
 
Kama kuna mtu aliekwenda Diamond juzi walipo kuja ma Wisemen. Mliona alivyokuwa anahaha. Na mliona watu walivyokuwa wana lalamika juu yake. Hata Wisemen aliposema ameacha maji kwa Martha anayetaka akachukue kwake, Martha amegoma kuuza hayo maji kisa watu wamemsemea. Nilipita pia kwenye website ya SCOAN nikakuta malamiko ya wa TZ juu ya Martha. Ninaimani malamiko yetu yata saidia kubadikika kwa huyu mama.
 
Unataka kwenda SCOAN. Pitia hapa Visit Us fuata maelezo jaza kama inavyostahili. SCOAN watakujibu na kukutumia barua ya mwaliko. Nenda ubalozini ukaombe visa. Kata tiketi ya ndege ambayo ni stahili yako. Ukifika maswala ya mahali pakufikia utakuta wamesha kuandalia kwa jinsi ulivyo chagua unataka kukaa wapi. Utahudhuria ibada mpaka utakapo ondoka kurudi TZ. Na kweli utasema hakuna haja ya kuwa na Martha TZ ili uweze kwenda SCOAN.

Ni kweli mkuu,shida ni wale ambao hawaelewi kabisa mambo ya internet na ndo wanaosumbuliwa kule hawaelewi waendaje!kwa wengine mbona fresh 2
 
Kwa Babu ni kikombe maji ya mizizi na jero jero, ila kwa TB Joshua ni maji na dola kadhaa !
Ile wote kazi yao ni kutibu magonjwa na kuombea watu utajiri !

U a wrong!n u dont knw who is TB Joshua!...better ask kuliko kuandika vitu ambavyo huna uhakika navyo
 
Haujaeleza Ubaya wake, umefichaficha lakini unataka tumuone Mmbaya....funguka tuskie bhana!
Na kama kweli hana maadili na ana maringo basi hafai katika kazi za kiroho, kazi za kiroho zinahitaji UPENDO!!..na hao wanaomtetea kwa madai kuwa kwenye mambo ya imani hauhitaji "kubembelezwa" sioni jina zuri la kuwaita isipokuwa ni WAPUMBAVU!

Mkuu teleza na uzi hadi mwisho utachambua mwenyewe,
 
Kama kuna mtu aliekwenda Diamond juzi walipo kuja ma Wisemen. Mliona alivyokuwa anahaha. Na mliona watu walivyokuwa wana lalamika juu yake. Hata Wisemen aliposema ameacha maji kwa Martha anayetaka akachukue kwake, Martha amegoma kuuza hayo maji kisa watu wamemsemea. Nilipita pia kwenye website ya SCOAN nikakuta malamiko ya wa TZ juu ya Martha. Ninaimani malamiko yetu yata saidia kubadikika kwa huyu mama.

Kama wachangiaji wengine walivyoshauri, na sisi tuandike malalamiko yetu
Mwisho wake unakaribia.
Hongera JF
 
Kama kuna mtu aliekwenda Diamond juzi walipo kuja ma Wisemen. Mliona alivyokuwa anahaha. Na mliona watu walivyokuwa wana lalamika juu yake. Hata Wisemen aliposema ameacha maji kwa Martha anayetaka akachukue kwake, Martha amegoma kuuza hayo maji kisa watu wamemsemea. Nilipita pia kwenye website ya SCOAN nikakuta malamiko ya wa TZ juu ya Martha. Ninaimani malamiko yetu yata saidia kubadikika kwa huyu mama.

Am i missing something wandugu?? Yaani kuna maji yanauzwa? Naombeni mnielewesha tafadhali!
 
Umaskini ni mbaya sana.

Umaskini unamfanya mtu hata uwezo wa kufikiri upungue. Pamoja na kwamba mimi ni muumini Mkatoliki mzuri, lakini hizi imani zinazoibuka zina mlengo zaidi wa kimaslahi kuliko kiroho. Naomba kujua gharama za hicho kichupa cha maji (Anointed Water).

Viongozi wa kidini wamekuwa wafalme kuliko Bwana wao wanaye mhubiri. Yesu alikuwa mnyenyekevu, mtoto wa seremala. Tunaona wanaojiita manabii wanachuma sadaka kwa wasiojiweza, wao wanaendesha Hammer! Bahati mbaya sana hata ukisema watu hawakusikii!
 
Yes!bt sio hyu tunaemuongelea
 
Yes!bt sio hyu tunaemuongelea

Nani, Martha au TB Joshua?

Ukweli ni kwamba tuweke imani kwa Mungu sio kwa binadamu. Bahatu mbaya sana ni wachache wanatofautisha haya mambo mawili. Manabii wamejimilikisha Mungu, na kuona usipoenda kwao wewe hauna wokovu.
 
Nimerudi tena na kupata moyo sana toka kwa wachangiaji kwamba kweli tunamtafuta mungu aliye hai. Kuna watu wameulize humu maswali ambayo hayajajibiwa kwa ufasaha. Kwa uzoefu wangu yawezekana wengine wana taarifa tofauti wazijaze hapa, source yangu ni experience yangu mwenyewe. Garama ya malazi kwa siku 5 mpaka 7 kule ndani scoan ikiwemo chakula milo mitatu, malazi ya ku share double deka vyumba visafi vyenye maji y akutosha, toilet papers na pengine sabuni, chakula kizuri tu na kingi, chai na mikate wakati wowote, na kule ndani kuna duka linalouza vinywaji, na vitafunio kama unataka, lakini kule eneo la congregation kuna restaurants za kumwaga. Hivi vyote havizidi us $ 600 - 800. Nauli kwa kupitia kwa madame Martha ni garama za kawaida za Ethiopia Airline. Visa ya Nigeria ni T.shs 100,000 garama official maana mimi ninatumia sana kwa kuwa nina consultancy ya muda mrefu Abuja naenda mara kwa mara na kurudi. Kwa hiyo unaweza ukalipa kati ya dola 1600 na 1800, Kwa hiyo kwa kuwa ananunua ticket kwa wingi anapata viti mbalimbali vyenye bei mbali mbali kwa hiyo anakupa rebate. Of course swala la agent anayemtumia ni kituko manake mnaweza kwenda huko kurudi mkaambiwa hamna confirmation na yeye bila haya wala aibu akajipakia yeye na yule mtoto wake wa kiume na wapambe wake wakaondoka na kuwaacha huko Lagos, Huyo ndio Madame Martha Kaaya.

Sasa kule ndani kuna alternative, kwenye wale wanaotaka private rooms kwa mwaka jana ilikua ni US$4000 kwa private room. Sasa hii sijui kama ni inclusive of nauli ya ndege kama unavyoona if it is so then it not bad baada mnakua kama vile mnalipa 200 -300 dollars per person from the average of the cost of those of us who stay in the dormitories.

Why do we need to go through the coordinator: inarahisisha sana huduma kwa wasafiri na hata kwa watoa huduma kule scoan, they pick you from the airport and therefore organise transportation for you, huhitaji kuzubaa zubaa na kutapeliwa na majambazi wa Nigeria, its safe and very descent. They organise escort ya polisi hivyo hamkumbwi na ile foleni ya kufa mtu ya jiji la lagos kwa kuwa mnakuta police wameweka blockages njia yenu na kusafirishwa kwa vin'gora. Given the challenge ya religious intolerance in Nigeria it is a very good option. Of course tatizo lake hakuna privacy kama wewe unaonea aibu hitaji lako. But this should not bother you kwa kuwa believe you me, kila aendaye huko anahitaji lake, yawezekana kabisa ukaona lako ni la aibu zaidi lakini kumbuka, mungu hakuonei aibu kwa kuwa all ungodly conducts ikiwemo aibu zetu ni kazi ya shetani. I have been to the scoan and have seen the living god in my life, Natamani ndugu zangu nyie, kaka na dada zangu, watanzania wenzangu wote mpate nafasi ya kwenda ili muwe huru. Pia kuna wanaowasiliana nae kwa facebook, kuna school mate wangu amepata baraka hiyo amewasiliana nae directly kwa facebook mara tatu na akamuonyesha siri ya haja ya moyo wake.

Sasa mungu atusamehe kwa kuwalalamikia wenzetu, Ni vizuri pia tujipime kwa mizani ya macho, na kuwaombe hawa wenzetu, kwa maana yawezekana Martha na kundi lake wanatuona sisi walalahoi, lakini bado tukawa rafiki za mungu, maana neno la mungu si kama uchawe ama charm, eti kwa sababu Blandina Nyoni yuko jikoni ndio shutuma zake juu ya ufisadi huku akiendelea kutumia gari la serikali na mafuta ya serikali hadi leo, havijalishi. Naamini hata Madame mwenyewe madhali anafanya haya yasiyoya kimungu, manake kiburi si cha bwana, basi na yeye amefunikwa na ukungu usio wa kitakatifu. Sisi pia mungu atusamehe maana tumehukumu, na wao pia mungu awasamehe ili wafanye yaliyo sawa. Lakini la kuandika kwa TB Joshua juu ya huu uhuni liko pale pape, maana imeandikwa ya kwamba tutahukumiwa sawasawa na matendo yetu. Mimi tayari tangu asubuhi nimeshatuma email 10 kwenda scoan. Simu ntaanza kupiga jumanne kwa sababu leo wako kwenye misa, tusiogope jamani.
 
Mbona zamani watu walikua wanaenda SCOAN bila matatizo. Huyu MARTHA lini atakuwepo hapo Diamond nikipata mda nije nimpe madongo yake. Watu wengine wanapenda kujifanya wapendwa kumbe mashetani kabisa. Huyo dada bila shaka ni kiburi then mchumia tumbo. Ngoja wainjilisti tuliovurugwa tumjie huko. Kwanza angejua wengine uponyaji tuliupata kupitia maombi ya kwenye EMMANUEL TV. Huyu TB Joshua ni nabii wa kuigwa. sio nabii full kujisifu kutengeneza mabif kama JD na Ruge, kuibia waumini. Mdhabahu unapanda wewe pekeyako.
 
Unajua watu wanaongea ushabiki tu mimi ninaushahidi kuna mtu ametozwa dolla 1700 kwajili ya kwenda SCOAN, toka mwezi wakwanza mpaka leo hajaenda anazunguushwa tu na kujibiwa majibu ya dhihaka na karaha. Mimi niliangalia tiketi mwezi wa nne kwenda SCOAN mtu mmoja ilikuwa ina gharimu tiketi tu dolla 750. Ukiweka malazi na chakula inaweza ikafika dolla 1100. Sasa huu si wizi halafu wakirudi anawarudishia dolla 100 watu wanafurahi wanasema ni muaminifu hakuna kitu mwizi mkubwa yule.

Very Good Business dollar mingi
 
Back
Top Bottom