Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,551
wee tena ukome,T B Joshua hana nyumba ndogo...unaejiita,king cobra
Mkuu usiku mwema, ngoja nihamie kwenye ishu za Gas ya Mtwara.
wee tena ukome,T B Joshua hana nyumba ndogo...unaejiita,king cobra
Dear Martha,
Mimi sijaomba kuwa coordinator wa SCOAN Tanzania.
Ila ni ngumu kwenda SCOAN bila kupitia kwenye OFISI YAKO YA BENJAMIN MKPA ULIYOJAA UKILITIMBA.
TB Joshua haihitaji kusujudiwa kama wewe!
Nilkichoomba hapa ni ku-imorove customer care.
Is this too much for you?
Mbona unatoa povu? Au amekugusa kwa kukufumbua macho kuwa kuna mwenzio hapa bongo?
According 2 u!
Ucfikiri kila m2 anawaza mambo ya kipumbavu hayo!
Punguza povu
Una maanisha nini?
hakuna mwanadamu aliye jirani na mungu.
Wewe Tabby haya maneno yanakuuma. una kiburi na umefilisika km unadhani unatoa huduma bora. na question kiwango chako cha kiroho. umeomba leo asubuhi?
Mimi pia sikupenda huduma zenu na aliyenituma nikamwambia aende mwenyewe ofisini kwenu. shame on you maana mnamuaibisha TB Joshua. badilikeni.
Watumishi wa Mungu ni wanyenyekevu. Yesu alinyenyekea hata mauti. Kwa kifupi Tabby nikifanya summary ya maneno yako unasema...
Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala...au
Usipokuja wewe watakuja wengine...
Yani kwa heshima aliyokuwa nayo TB you dont deserve to be even the last person on the line serving on his behalf. Hapi ndiyo utaona tofauti ya kufanya huduma kama huduma au kazi kama kazi.
Pole sana.
päiva;6435571 said:Njia nyingine ya kwenda SCOAN ni kufuata maelekezo yaliyoko kwenye website yao wala huhitaji kupitia kwa mtu. Nimeshafanya hivyo mara tatu na kufanikiwa. Ubarikiwe sana.
Mkuu Chupaku nimeanza kuamini haya madai ni ya kweli maana wanaJF wengi wanalalamika so ni vyema akajirekebisha kwani hapo wanamuharibia mtumishi wa Mungu Tb Joshua.
u a ryt mkuu!kwanza wa2 wanaofanya kazi na tb joshua hawapo hivyo,...
Nilikuwa scon frm xmass up 2 new yr! Yaani TB Joshua yupo tofauti na hao wanaojifanya wanamjua sn,mnyenyekevu,hana majivuno, tofauti na huyu coordinator
christine ibrahim asante sana kwa taarifa kwamba hata Prophet ameshapata hizi taarifa. Nina imani kwamba mateso haya yanakaribia mwishoww unaebisha vitu usivyovijua bora ukae kimya! Na prophet ashapewa hizi taarifa!
....mleta mada upo sahihi, nilikuwa huko,na nilipitia hyo njia ya coordinator,bt nikienda tena i wont use that way!
...acheni 2 martha ni tatizo hasa kwawale wasioelewa ki2,wanapata shida,im telling u coz huwa na volunteer aisee km huna moyo huwezi vumilia
uniq mungu atusaidie twende kwa T.B.Joshua tukamfanyie maombi.Anointing water na sticker vinapayikana pale Benjamini Mkapa. Ila unahitaji kuwa na moyo waziada ili kuvipata. Huyu mtu anaye itwa Martha kweli anachokifanya pale sio kizuri kabisa. Anataka kuwa Mungu mtu hapa duniani, anataka kufanya iwe bila yeye huwezi fika SCOAN. Ana manyanyaso sana. Nilikwenda pale na hela mkononi akanizunguusha siku mbili na hakuniuzia maji. Kwanza anajibu mabaya sana na hata heshima hana. Mimi nadhani anahitaji kuombewa ili aweze kufanya hiyo kazi.
.....huyo ndo aliyetayari kutumika...maana biblia yasema atanyanyua mawe kumuimbia.....nyie mnaojiona wasafi mko wapi kutumika??sioni sababu ya kupiga saana kelele..martha,martha.....kama vp tumika wewe!Mungu humwita mtu kwenye madhaifu yake na kisha humbadilisha hatua kwa hatua
........TUKISEMA HATUNA DHAMBI TUNAJIDANGANYA WALA KWELI HAIMO NDANI MWETU
Huyu mama ni mpumbavu sana, ndiyomaana walilshindwa kumvumilia PPF tower wakamtimua kaja kubanana pale Mkapa tower. Majib yake ni ya kishetani mno. Sumba - wanga wala usijali bila hata yeye we can. Ila watanzania improve customer care, udhaifu siyo pale kwake tu, hata sehemu zingine tumeonyesha udhaifu mno.
Ooooh ! ............... Sasa mko bize kuhangaika kwenda huko SCOAN kwani kuna hija !?
Hii ni Nyumba ndogo ya TB