macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,230
- 56,856
.
Jamani kwa heshima na taadhima nimeuliza nafasi ya haya maji ya upako na sii tena imani katika damu ya Bwana Yesu? Naona mmejikita zaidi katika kukwazwa na kukwaza kwa mnaemuita Martha badala ya kwa pamoja tuliangalie hili la msingi kabisa la nafasi ya Bwana Yesu katika mwamini? Some one help me p/se maana wivu wa ule uthamani wa ile Damu ya Yesu unanitafuna.
.
Hutapata jibu mkuu. Hii biashara kama ile ya jamaa wanaouza dhahabu fake wameweka kwenye kichupa na seal yake. Nasikia na hayo maji yanakuja yakiwa sealed kwenye vyupa hivyo hivyo. Kumbuka wale manabii wa siku zz ukingoni!!!