Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
- Thread starter
- #221
Ubarikiwe mtoa mada
Praise the Lord
Ubarikiwe mtoa mada
Mtakuja kujipaka mikojo huku mkiamini ni maji
i am just trying to make people understand a number of misconceptions here, i know kuna watu watabarikiwa na kunawengine wataona kama namtetea mtu , but the truth stands ! Kama kweli tumeokoka na tunatambua umuhimu wa huduma hii ya scoan tujitahidi kutafuta ukweli zaidi ya kuassume and make up things. Kinachouzwa ni dvd ya mahubiri ya Prophet TB joshua even in nigeri you will have to buy the dvd moja ni naira 50 kama huna utainunua kwa 50 dollar na hulazimishwi kununua hiyo cd bali kama unataka anointing water the easier way to get is to buy a cd au lah usubiri neema ya Mungu ishuke prophet akugawie in person. Kwahiyo basi hata hayo maji amabyo martha anakuwa nayo anakuwa amenunua cds kwa PESA YAKE uwiii yake mwenyewe ili watu amabo hawajapata uwezo wa kufika pale kununua cd wenyewe wapate maana kuna wengine wanaamini wakiyapata tu watapata deliverance yao.
So guys lets seek GOD in knowing the truth than saying kachakachua etc and the water is always sealed ..... Na hata ikichakachuliwa if you are meant to be delivered and healed through that water you will.......have faith !! Seek the truth !!! Mbarikiwe katika kutumia hekima ya Mungu zaidi ya haya tunayoyaona ni UBATILI
Sumbawanga mimi sio Martha and ila i know martha kiasi and sometimes i try to help her katika mambo mbalimbali as the spirit directs so i am not saying things out of the air , naomba tuwasiliane inbox kama kweli umekwazika sana na unataka kwenda scoan, i have been to scoan more than once with marthas Group so i know what you experienced.XXLIZ Umejitahidi sana kumtetea Martha (kama sio wewe ndio Martha. Naomba kukuliza mawsali yafuatayo:
1) Ni Watanzania wangapin wanatoa huduma mbali mbali kama Martha ambao wanafamilia zao, wanamaisha yao na stress zao? Cha ajabu anachofanya Martha ni kipi?
2) Ni watanzania wangapi wenye acess na internet ambao wanaweza kufanya on line appointments?
3) Ni kweli kwamba Martha ni mwema kiasi cha kulipia ofisini Benjamini Mkapa na kupiga pesa kwa hela yake? Free of charge?
4) Kama Martha anaona kwamba hiyo kazi ni burden kwake, kwa nini asimwambie T.B. Joshus kwamba it is too much for her?
5) Hivi ni lazima Martha akakatie watu ticket? Si. anaweza kufanya booking na kumpa kila mtu reserveation number, then watu wakakata ticket wenyewe. Hata la Visa inawezekana. Kama anaona ni ngumu sana, basi let her facilitate through dates na sio lazima afanye kila kitu
6) T.B Joshua na wahudumu wenzake wanapokea simu na kuhuudumia watu mara 1,000 ya Martha, how come hawajalalamikiwa? Watu wa kutoka dunia nzima? Martha is the only SCOAN coordinator? What about SA, Kenya and others?
Why Martha??????????????????????????????????????????????
However,
Praise the Lord!
My brother or my sister sumbawanga. Do you know kuwa mwanzoni Martha was using her home kama ofisi ya kutoa huduma mpaka akaingiliwa na majambazi wakachukua dola za watu wote walizotoa kwa ajili ya safari at gunpoint ndio akaona aanzishe ofisi far from her home kuepusha such risks and thats why watu wanalipia benki na sio mkononi kwake nauli . Na hata baada ya pesa zote kuibiwa group lilienda tu scoan kkaaaaa chini jiulize ungekuwa ni wewe ungeweza au group lingefail kwenda si mngemuandika magazetini kuwa amewatapeli.Dear Martha,
Mimi sijaomba kuwa coordinator wa SCOAN Tanzania, na wala sina mpango wa kufanya hivyo.
Mimi sina shida na wewe maana sijaja nyumbani kwako na wala sijui unakaa wapi.
Sina haja ya kukujua wewe zaidi ya pale SCOAN.
Ila ni ngumu kwenda SCOAN bila kupitia kwenye OFISI YAKO YA BENJAMIN MKAPA ILIYOJAA UKILITIMBA.
TB Joshua haihitaji kusujudiwa kama wewe!
Nilkichoomba hapa ni ku-imporove customer care, na kufanya maisha ya watu wanaotaka kwenda kupata hii huduma yawe marahisi.
Is this too much for you?
wellsaid.Hata mkinielezea kamwe hamtanipata. Huyo Mungu ambae ukimwomba wewe hakusikii mpaka utumie maji kutoka Nigeria ni wa wapi? Kwa taarifa yako huu utapeli haujaanza leo. Umekuwepo tangu zamani sana. Wakristu wa zamani sehemu kama Italia walikuwa wananunua ''baraka za Mungu'' au ''kuponi za kuondolea dhambi''. Huu ni upotoshaji tu. Kama una shida na Mungu piga magoti omba kwa imani na utapata. Kumbe babu wa Loliondo wapo kila mahali.
Hata mkinielezea kamwe hamtanipata. Huyo Mungu ambae ukimwomba wewe hakusikii mpaka utumie maji kutoka Nigeria ni wa wapi? Kwa taarifa yako huu utapeli haujaanza leo. Umekuwepo tangu zamani sana. Wakristu wa zamani sehemu kama Italia walikuwa wananunua ''baraka za Mungu'' au ''kuponi za kuondolea dhambi''. Huu ni upotoshaji tu. Kama una shida na Mungu piga magoti omba kwa imani na utapata. Kumbe babu wa Loliondo wapo kila mahali.
Siku za hizi karibuni tumeshuhudia watanzania wengi wakijitahidi kwenda kwa Mchungaji T.B. Joshua, wa SCOAN Nigeria kwa maombezi. Hiki kinachotokea kwa sasa ni kielelezo tosha kwamba watu wengi wana mahangaiko makubwa sana na wangependa kumrudia Mungu wao kwa Uponyaji.
Naomba nizungumzie tabia za kukera za Coordinator wa SCOAN hapa Tanzania, Martha. Huyu dada ni kiburi sana, anamajidai, hajali watu, anajibu jeuri, na ku treat watu wazima kama vile wanafunzi wa sekondari. Huyu dada amejisahau, anaona kama vile anafanya kazi White House, amekosa kabisa maadili ya watu wanaosaidia watu wa Mungu. anajipangia tu muda wa watu na siku za kwenda ofisini kwake bila kujali kwamba hao watu wanatoka mikoani, au dar! Hata Dar yenewewe ina foleni, unapowaambia watu wafike Benjamini Mkapa saa moja kamili anafikiria nini? Na hata ukimwambia kwamba unatoka mbali hajali, atakupa jibu la karaha.
Last week wisemen from SCOAN- Nigeria walikuja Diamond Jubilee. Huyo dada aliadhirika sana kwa kiburi chake, kwa maana matendo yake na tabia zake ni tofauti sana na watu wa SCOAN kutoka Nigeria. hakuwapaa watz taarifa za kutosha madhumuni ya safari yao. Hili lilileta usumbufu mkubwa sana. Waliokuwepo Diamon Jubilee ni mashahidi zangu.
nasikia amesusa kuuza maji baada ya kuona kwamba watu wamemsemea,
Typical of Tanzanians behavior, sasa kazi ni yako unasusa nini?
Unamsusia nani?
Kwa nini uliikubali? Kama hutaki si uache?
Kwa kweli huyo dada, ni janga la taifa.
uKITAKA USHIRIKA WA KWELI NA MUNGU 1.OKOKA 2.ACHA DHAMBI 3.SOMA NENO 4.MAOMBI 5.TAFUTA KANISA AU WATU WANAOMUABUDU MUNGU KTK ROHO NA KWELI.
anania sio mimi peke yangu ninayelalamika.1.Kaka kama kweli unashida ya kwenda Nigeria na umeambiwa uende saa moja, kwanini ushindwe kufika?
2.Mbona ukiwa unasafari ya mkoani saa kumi na mbili huwa umeshafika Ubungo?
3.Au unataka kupewa ucoordinator sasa umeamua kufanya kampeni?
4.Je huyo Martha kwanini usingemwambia mwenyewe kama unaona anatenda kinyume na utaratibu wenu wa kiroho?
5.Umefuata utaratibu gani kulitatua hilo tatizo kabla ya kuja Jamii forums?
Kwenye hicho kitabu ambacho TB Josua hukitumia(Biblia) imeandikwa kama mwenzako anatenda kinyume na umemwona muite pembeni mwambie unacho fanya sio utaratibu asipo badilika ongeza mtu mwingine mumweleze asipo badilika mplekeni kwenye mabalaza yenu na asipobadilika mnamtenga.Hebu toa ufafanuzi umefuata utaribu upi?
MVUMBUZI nina hakka kwamba umesoma poist yangu na kuja hapa kuandika.Mi simfahamu. Ila inawezekana approach uliyotumia ni kama ya mtu anayetaka huduma hotelini. Customer care unahitaji kwani pale kuna biashara gani anayohitaji kupata faida. Upofu wa kiroho unatufanya tushindwe kutofautisha mambo ya kidunia na ya kiroho ndo unaosababisha arguments kama hizi. Tena bora yaliyokukuta inawezekana ni mpango wa Mungu kwani ameepusha mengi yasitokee kupitia wewe mya be u wakala wa shetani
XXLIZ: One simple question.My brother or my sister sumbawanga. Do you know kuwa mwanzoni Martha was using her home kama ofisi ya kutoa huduma mpaka akaingiliwa na majambazi wakachukua dola za watu wote walizotoa kwa ajili ya safari at gunpoint ndio akaona aanzishe ofisi far from her home kuepusha such risks and thats why watu wanalipia benki na sio mkononi kwake nauli . Na hata baada ya pesa zote kuibiwa group lilienda tu scoan kkaaaaa chini jiulize ungekuwa ni wewe ungeweza au group lingefail kwenda si mngemuandika magazetini kuwa amewatapeli.
Other contries have no coordinators yani wanafly to tz ili waende scoan kwa urahisi.
"What people dont know they will call NAMES" TB Joshua
Sumbawanga mimi sio Martha and ila i know martha kiasi and sometimes i try to help her katika mambo mbalimbali as the spirit directs so i am not saying things out of the air , naomba tuwasiliane inbox kama kweli umekwazika sana na unataka kwenda scoan, i have been to scoan more than once with marthas Group so i know what you experienced.
Naomba kukujibu
1.cha ajabu anachokifanya martha ni kuwa anapokea maagizo kutoka kwa prophet on what to do in order to get visitors to visit scoan.she has direct communication to the scoan anytime any day .scoan wanamuamini yeye na sometimes hawezi kufanya chochote bila kuwa directed by scoan lagos and prophet
2
Watanzania wenye access na internet ni wachache thats why Martha is there to help coordinate wale ambao hawawezi kuapply basi sisi wenye acces ya kutumia mtandao kutupa lawama tutumie hii chance kuapply direct tusifanye watu wakakosa chance ya kupata deliverance kwa kumchafua the ONLY BRIDGE that we so far have (maana kuwa na martha na nyodo zake its a priviledge that we should appreciate)
3. Its hard to believe but yes martha pays for the office kiubinadamu huwezi kuamini but yes yes yes and she pays for everything to get you there,..........sasa sijui nikuaminisheje. Thats why i say the truth willl always stand and prevails
4.i believe as human she has , the job is too much for her, i believe anakwazika , anaregret, anaanguka , analia because of this coordinating people who have no appreciation to her humanity.
5.nakubaliana na wewe kuwa hiyo inaweza kuwa ni solution nzuri sana ila kibongo bongo unamfanyia booking mtu then atakupigia kukuuuliza ni dola ngapi? Mwingine atakwambia sijui ofisi ya ubalozi iko wapi? Hela yangu haijatosha nimetumia kwenye hiki na kile .etc believe me we tanzanians are full of excuses and we donot want procedures and systems .
In my poor understanding ni kuwa hii system yooooooote ya kwenda scoan imeratibiwa na scoan wenyewe Martha has no power to do otherwise without the concent of Man of GOD ,believe me she has respect for him and his guidances .
6.wahudumu wa scoan are also not angels they are also guided by the man of GOD and kama utapata neema ya kufika SCOAn utajua kuwa unachokifikiria kuhusu huduma kuwa watakupet pet mpaka uwe delivered sio tena unaweza lia . And they tell it to your face wht you need to be told Martha cha mtoto.
Naomba nimalizie kuwa mimi ni kabwela tu wa kariakoo nimeamua kujibu tuhuma hizi because i have been to scoan iwasaidie watu, hata sasa she is under pressure na anahitaji msaada wa kufanaya hiki na kile ili grupu liende .Tunatakiwa kumwombea kwa Mungu amuinulie watu wa kumsaidia au hata aondoe kibanzi chake kama kipo.. ONLY GOD can be the JUDGE,we are human we are not perfect ,to her she is putting her best self to what she is sent to do by the Lord through the Prophet AND THAT IS WHAT IS NEEDED.majibu yangu yanaweza yasiwe right kwako kwa mtazamo wako but nimeandika ninachokijua kusaidia na sio kwamba najidai kujua sana . I believe in TRUTH
.
Agano la mkristo na Mungu kwa damu ya Mwana wake limepitwa na wakati? Na sasa ni agano la maji ya upako? Hebu tupeni andiko linalounga mkono maji ya upako isije ikawa kwetu kama kwa nabii Balaamu.
.