Coordinator wa SCOAN Tanzania

Coordinator wa SCOAN Tanzania

Kaka salama?
Unafuatilia sana TB Joshua.
Do you want to cross the roads?

Tunaweza kwenda wote Nigeria, wakati sisi tunapiga maombi na kupata Upako, wewe unaweza kwenda kuwasalimia Boko haram.
Tukimaliza tunapanda pamoja ndege na kurudi "Kisiwa cha amani'.

mtoa mada naomba nikuulize... pale benj mkapa kuna kaka mmoja ndo huwa anakaa pale ofisini, hivi ni nani yule jamani maana ana pozi yule kaka sijapata kuona.

kweli nimeamini hata yuda, pamoja na kukaa karibu na Yesu miaka yote aliishia kutenda dhambi kubwa na kuishia kujiua.. that means hakupata kuokolewa. kukaa karibu na uaridi si kunukia
 
Mkumbuke Biblia inasema muwe na upole kiasi! Afu ktk shughuli za kiroho akuna kubembelezana,kwani siyo wote wanafuata huduma hiyo wengine ni mapepo machafu yanakuja kuaribu huduma.
 
Nimemsikia Tb Joshua leo katika Emmanuel Tv kuwa kwa sasa new anointing water itagawiwa makanisani..Tena itakuwa free.Vuteni subira wakamilishe mchakato huo.
 
mtoa mada naomba nikuulize... pale benj mkapa kuna kaka mmoja ndo huwa anakaa pale ofisini, hivi ni nani yule jamani maana ana pozi yule kaka sijapata kuona.

kweli nimeamini hata yuda, pamoja na kukaa karibu na Yesu miaka yote aliishia kutenda dhambi kubwa na kuishia kujiua.. that means hakupata kuokolewa. kukaa karibu na uaridi si kunukia
queeny: Hata mimi niko gizani kama wewe.
He must be one of the cerebrities of SCOAN Tanzania
 
Last edited by a moderator:

mtoa mada umefanya jambo la maana kuleta mada hii na mtu unaweza ukadhani labda una gundu kumbe hiyo hali imeshawakuta wengi, kupitia forums za kijamii kama hizi ndo unaweza kuona magnitude ya tatizo.

binafsi nimehamasishwa sana na mmoja wa wachangiaji kuwa ni bora tukawasiliana na scoan wenyewe tuwaeleze hili tatizo na wakiona malalaiko yamezidi, naamini watafanya reformation Fulani.

SHUKRANI MTOA MADA, SHUKRANI JF
 
Last edited by a moderator:
Wapigania uhuru wale ! Wameshtukia mafuta yanavyomalizwa na westerners. Nyie mmekalia masikioa na kujazwa ujinga wa annoited water !
Kama vile ' gesi haitoki Mtwara !

Haya kazana na JIHAD.
There is nothing you can do better.
This is what is expected from you.
Go on my brother (I am not sure if it is right to call you a brother, based on your belied)
You calls me a Kaffir!
Takbir!
 
Naamin huu ni Mpango wa Mungu mwenye nguvu kupitia JF ili haki iweze kupatikana kwa huyo kodineta wa SCOAN hapa Tz, Binafsi huwa ninataman sana siku moja niende SCOAN pia nijifunze mengi kuhusu hiyo ministry lakin kama kwel siku nikienda nimkute mtu kama Martha basi ninaweza nikakagombana naye bure na kupoteza upako wote.

VIVA JF.
 
Nimemsikia Tb Joshua leo katika Emmanuel Tv kuwa kwa sasa new anointing water itagawiwa makanisani..Tena itakuwa free.Vuteni subira wakamilishe mchakato huo.

Yaa,ametangaza hivyo bt ame invite makanisa/pastors wawasiliane km wapo tayari kuhudumia watu makanisani kwao sith that annointing water bure!na mpaka ss viongozi wa makanisa wanafanya mawasiliano,then watatangaza how 2 get it frm those churches
Bt ukiipata unatakiwa usaidie wengine mia 2 jus 4 giving them a drop of it unless otherwise God will nt bless u. So mkuu vuta subira,tutapata 2
LET LOVE LEAD!
 
Naamin huu ni Mpango wa Mungu mwenye nguvu kupitia JF ili haki iweze kupatikana kwa huyo kodineta wa SCOAN hapa Tz, Binafsi huwa ninataman sana siku moja niende SCOAN pia nijifunze mengi kuhusu hiyo ministry lakin kama kwel siku nikienda nimkute mtu kama Martha basi ninaweza nikakagombana naye bure na kupoteza upako wote.

VIVA JF.

I v been there mkuu! Through hyo kodineta,yaani km una moyo mmdogo unaweza uahirishe safari!
Bt this tym i wont use that way,better nijaze form online/internet
 
Umesema ukweli 100%,Martha anakwaza sana,tofauti kabisa na TB Joshua na team nzima ya SCOAN.Anatreat watu kama watoto wadogo,sijui kama TB Joshua ana taarifa za huyu Co-ordinator! Kwa kweli anamuharibia.
 
Naamin huu ni Mpango wa Mungu mwenye nguvu kupitia JF ili haki iweze kupatikana kwa huyo kodineta wa SCOAN hapa Tz, Binafsi huwa ninataman sana siku moja niende SCOAN pia nijifunze mengi kuhusu hiyo ministry lakin kama kwel siku nikienda nimkute mtu kama Martha basi ninaweza nikakagombana naye bure na kupoteza upako wote.

VIVA JF.

Mkuu, take time kuangalia Emmanuel TV.
Utapata majibu yote
 
Yaa,ametangaza hivyo bt ame invite makanisa/pastors wawasiliane km wapo tayari kuhudumia watu makanisani kwao sith that annointing water bure!na mpaka ss viongozi wa makanisa wanafanya mawasiliano,then watatangaza how 2 get it frm those churches
Bt ukiipata unatakiwa usaidie wengine mia 2 jus 4 giving them a drop of it unless otherwise God will nt bless u. So mkuu vuta subira,tutapata 2
LET LOVE LEAD!

Thank you for information.
Praise the Lord.
 
Umesema ukweli 100%,Martha anakwaza sana,tofauti kabisa na TB Joshua na team nzima ya SCOAN.Anatreat watu kama watoto wadogo,sijui kama TB Joshua ana taarifa za huyu Co-ordinator! Kwa kweli anamuharibia.

IT is time now TB Joshua atajua.
Through JF
Viva JF
 
Back
Top Bottom