Wadau naomba kuelewa nimekuta gar imemwaga coolant mpaka imeanza kugandamana wakati inakuja toka japan haikuwa hvi,je hili ni jambo la kawaida au niende Garage...natanguliza shukrani
Bonge la gari ila tatizo mtu mweusi kutunza gari ni sawa na kumwambia mtoto wa chekechea asolve swali hili la hesabu: \-x+sqrt{1-x^{2}}\-=sqrt{2}\left(2x^{2}-1\right)\-x+sqrt1−x2\-=sqrt2(2x2−1)