kennedy joshua
Member
- Sep 24, 2014
- 51
- 30
Wadau naomba kuelewa nimekuta gar imemwaga coolant mpaka imeanza kugandamana wakati inakuja toka japan haikuwa hvi,je hili ni jambo la kawaida au
niende Garage...natanguliza shukrani
Toyota kluger v model 2005Gari gani?
Kwa uelewa mdogo inamaanisha coolant haizunguki na kunatengenezwa pressure kubwa ndio maana inarudi kwenye tank.Toyota kluger v model 2005
Bonge la gari ila tatizo mtu mweusi kutunza gari ni sawa na kumwambia mtoto wa chekechea asolve swali hili la hesabu: \-x+sqrt{1-x^{2}}\-=sqrt{2}\left(2x^{2}-1\right)\-x+sqrt1−x2\-=sqrt2(2x2−1)Toyota kluger v model 2005