Coolant kumwagika kutoka kopo lake

Sep 24, 2014
51
30
Wadau naomba kuelewa nimekuta gar imemwaga coolant mpaka imeanza kugandamana wakati inakuja toka japan haikuwa hvi,je hili ni jambo la kawaida au
595014DC-DC3C-47D1-AC48-739A2D8162E2.jpeg
niende Garage...natanguliza shukrani
 
Toyota kluger v model 2005
Kwa uelewa mdogo inamaanisha coolant haizunguki na kunatengenezwa pressure kubwa ndio maana inarudi kwenye tank.

Mshtue fundi acheki mzunguko maana inaweza kuja fumua baadhi ya pipes.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom