Cookies za bangi, Je huku kwetu zipo?

elixer of life

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
612
596
Habari wana jf
katika maisha yangu ya kujichanganya na wapishi na kufatilia makala ya wapishi nimepita sehemu mmoja nikakuta hizi cookies za bangi /cannabis sasa nikawa najiuliza hapa kwetu bongo kuna wapishi wa mambo kama hizi kweli.
16c359dda772717ae191336f48e2ed26.jpg
1347449023-fuves-torta.png
space-cake.jpg
 
Zipo,kibongobongo wanakula wakishua zaidi,shida ya stimu ya edibles ni kwamba haiji gradualy/kidogkidogo kama stimu ya kuvuta,stimu yake inakuja yote kwa wakati mmoja,gafla,unaweza kaa hata lisaa limoja usihisi kitu,mara paap!!, ikija inakuja yoote.kama sio mzoefu unaweza pagawa
 
Nilichanganyikiwa siku nimekula hii kitu, sikua najua ilikua birthday party ya jamaa yangu
 
Namaanisha wala ganja wa huku uswahilini kwetu hawana access nazo na asilimia kubwa hawajui kama bangi huchanganywa kwenye vitu vya kuoka na mlaji akapata stata.hata mie sio wakishua lakini nimekula.

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
yeah its a bit expensive and classy! kuna super market moja kubwa tu zipo ila huuziwi kichwa kichwa! (staki maswali hapa!)
 
Back
Top Bottom